Litania ya hujuma za CCM Kwa UKAWA/CHADEMA ni masikitiko sana

MACCM yamegundua kwamba UKAWA kuna watu makini mno na hivyo hawawezi kuwashinda kwa hoja ndani na nje ya Bunge. Hivyo wakaamua kuja na mkakati wa kubaka demokrasi na kutumia polisi ili kuwawezesha kukamilisha ubakaji wao wa demokrasi. Siku vyombo vya dola vikigoma kuikingia kifua CCM katika ubakaji wake wa demokrasi nchini siku hiyo ndiyo CCM itazikwa rasmi nchini. Naomba tu siku hiyo isiwe mbali sana ili Watanzania tuondokane na hawa wahuni, wezi, mafisadi, majangili, wakwapuzi wa mashirika ya umma, wapokea rushwa, wakwapuzi wa nyumba za Serikali n.k.
Mngekuwa makini msingemleta fisadi kugombea urais
 
Yaani mlitaka mnunuliwe na Mafisadi
Kisha muingie IKULU!!

Kwa kugawa Viroba kisha kudekiwa barabara kisha Muingie IKULU!!

Kwa kuwa na wafuasi Vibendera
Mkategemea muingie IKULU!!

Kuwa na viongozi Akili ndogo kuongoza Akili kubwa
Mkategemea muingie IKULU!!

Kwa kuacha Ajenda kuu mlio pigania Miaka 20
Mkategemea kuingia IKULU!!!

MUACHE UNAFIKI KUWENI WAKWELI
 
Kumfanya fisadi agombee urais

Kumtimua mzalendo wa kweli kutoka kwenye chama

Hakuna utawala dhalimu kama wa ndani ya chadema
Hiv unakumbuka aliyw mua Alphonse mawazo.....huyo ndiye ambaye mikono yake inanuka damu...je huyo fisadi ndiye amemua na mwisho huo utawala unatakiwa umfikishe huyo fisadi mahakamani la sivyo......mfunge midomo....
 
Kulialia tu mwanzo mwisho. Mbowe mwenyekiti wa kudumu, Seif katibu wa kudumu. Lowassa mgombea asiyepitishwa na wanachama, Sumaye alihamia asubuhi akala shavu la kumnadi mgombea. Wako wengine wengi waliohamia kipindi uchaguzi ili wapate nafasi ya ugombea na wakapata. Mfano kina Lembeli, Bulaya n.k.

Hii inaonesha upinzani bado una siasa za kufikirika, wafuasi wake wanadhani kuwa wanaweza kuonghoza nchi, lakini ukweli sivyo. Ni siasa za porojo tu, vyama vinaendeshwa na umaarufu wa mtu binafsi. Wapi NCCR Mageuzi, NLD na CUF huku bara? Sasa hivi show yote ni CHADEMA ya Lowassa tu. Think!!
Rubbish. .
 
Mimi sina Kadi ya Chama chochote na Naapa Juu ya Uhai wa Watoto wangu mjue jinsi nilivyo sincere, Ingekuwa Ni Ukawa wangekuwa madarakani na Wakawafanyia CCM hivi Ningesikia uchungu huu huu. Kwani Mimi sio Miongoni mwa wanaotaka CCM ife, Nataka haki na equilibrium ya Kisiasa. Akishidwa mtu au chama uwe ni udhaifu au uzembe wake mwenyewe. Na Mbaya zaidi ya Yote Hainiingii akilini Mh. Magufuli ambaye anaimba Kila siku, "Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu" awe Mnafiki Hivi. Inakuwaje Rais anayechukia Kutumiwa Kama ride ya Mafisadi, na Kwa Maneno yake, "Not me, aheri nikachunge ndege" Iweje huyu huyu atumike kama Upanga na Minyororo ya Uonevu. Iweje yeye akubali kutumika kama mbeleko ya CCM isivyo halali? Wapo Watu Makini na Wema ndani ya CCM na hawa hawahitaji Kubebwa na yeyote. Kwa anayofanya Bila Kujua ni Kustawisha wasiostahili CCM, akidhani anajiwekea Binafsi Mzingira mazuri. Ina faida Gani Kama Mh. Akashinda 2020 isivyo halali na akawa hajafanikiwa au Muda Mfupi tu mafanikio yake (ambayo kwa hali hii siyatabiri) yakayeyuka? Atakuwa amepata faida gani?
Kosa kubwa la ukawa ni kutangaza kupambana na Magufuli badala ya kufanya siasa za kistaarabu. Nadhani walishtuka sana kuona Magufuli anatekeleza yale waliokua wanaimba kila siku.
 
Mpaka leo siamini kwamba kweli Magufuli alidhubutu kusimama na kuxuia shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani. Na kweli upinzani umeamua kukubaliana na hilo? This is unbelievable. Mh anaamini anapendwa sana hivyo anaweza kufanya chochote bila kujali sheria na katiba ya nchi.
Sasa tuseme basi. Hii ni kutiana vidole puani! Haivumiliki!
Nini kinachomfanya rais awe mwoga kukosolewa kiasi hicho?
Ni kweli ana nia nzuri na nchi au anatafuta namna ya kuibeba ccm kijanjajanja!
 
Hiv unakumbuka aliyw mua Alphonse mawazo.....huyo ndiye ambaye mikono yake inanuka damu...je huyo fisadi ndiye amemua na mwisho huo utawala unatakiwa umfikishe huyo fisadi mahakamani la sivyo......mfunge midomo....

Mawazo aliuawa na wahuni wenzake
 
Mawazo aliuawa na wahuni wenzake
wale wa ccm.....ila mnanuka dam...huo ni ukwel...nyie ni wauaji..naukiwa ccm sijui kwa nn hatauwepo wa roho ya utu unatoweka.......mlimua mawazo mkawa mnakataza asizikwe na na ndugu zake mumzike nyie..ila Mungu atawalipa.......leo hii hata aibu hamuoni....kuja huku kuzungumzia na kujitetea...kina mwangosi nyie ndo mlimua...yaan ukitaja ccm ni mauji tu...
 
Kulialia tu mwanzo mwisho. Mbowe mwenyekiti wa kudumu, Seif katibu wa kudumu. Lowassa mgombea asiyepitishwa na wanachama, Sumaye alihamia asubuhi akala shavu la kumnadi mgombea. Wako wengine wengi waliohamia kipindi uchaguzi ili wapate nafasi ya ugombea na wakapata. Mfano kina Lembeli, Bulaya n.k.

Hii inaonesha upinzani bado una siasa za kufikirika, wafuasi wake wanadhani kuwa wanaweza kuonghoza nchi, lakini ukweli sivyo. Ni siasa za porojo tu, vyama vinaendeshwa na umaarufu wa mtu binafsi. Wapi NCCR Mageuzi, NLD na CUF huku bara? Sasa hivi show yote ni CHADEMA ya Lowassa tu. Think!!
Na unaamini wengi walio upinzani hawahitaji tena mawazo mapya mpaka 2020?Maana nasikia mzee democrasia atakuwa huru ati wakati huo.
 
wale wa ccm.....ila mnanuka dam...huo ni ukwel...nyie ni wauaji..naukiwa ccm sijui kwa nn hatauwepo wa roho ya utu unatoweka.......mlimua mawazo mkawa mnakataza asizikwe na na ndugu zake mumzike nyie..ila Mungu atawalipa.......leo hii hata aibu hamuoni....kuja huku kuzungumzia na kujitetea...kina mwangosi nyie ndo mlimua...yaan ukitaja ccm ni mauji tu...
Na Ulimboka Waliomteka mbona hawakamatwi na Aliwataja. (Yule aliyemuita waongee) by the way mnakumbuka nani alisema Escrow ni fedha binafsi? Sii yeye pia alisema hajatuma mtu kumteka ulimboka?
 
Bora wao wanachaguliwa Kwa Kura sio Kupitishwa Kwa Lazima, Lowassa alichaguliwa na Mkutano Mkuu, Mbowe alishinda Uwenyekiti wa Chadema kwa asilimia 98% dhidi ya Mgombea Mwenzake, Tare 23-7-2016 Mh. Magufuli atagombea na Nani? Sumaye Unayemsema alikuwa Waziri Mkuu kwa Miaka 10, kuliko Waziri Mkuu yeyote Tanzania unadhani angekuwa Ovyo Mkapa angemwacha?
Na Porojo Unazosema hapa zinajibu vipi hoja iliyoko mezani? Its Just Blah Blah
Wadanganye wajinga
 
wale wa ccm.....ila mnanuka dam...huo ni ukwel...nyie ni wauaji..naukiwa ccm sijui kwa nn hatauwepo wa roho ya utu unatoweka.......mlimua mawazo mkawa mnakataza asizikwe na na ndugu zake mumzike nyie..ila Mungu atawalipa.......leo hii hata aibu hamuoni....kuja huku kuzungumzia na kujitetea...kina mwangosi nyie ndo mlimua...yaan ukitaja ccm ni mauji tu...

Dogo pole sana
 
Mimi sina Kadi ya Chama chochote na Naapa Juu ya Uhai wa Watoto wangu mjue jinsi nilivyo sincere, Ingekuwa Ni Ukawa wangekuwa madarakani na Wakawafanyia CCM hivi Ningesikia uchungu huu huu. Kwani Mimi sio Miongoni mwa wanaotaka CCM ife, Nataka haki na equilibrium ya Kisiasa. Akishidwa mtu au chama uwe ni udhaifu au uzembe wake mwenyewe. Na Mbaya zaidi ya Yote Hainiingii akilini Mh. Magufuli ambaye anaimba Kila siku, "Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu" awe Mnafiki Hivi. Inakuwaje Rais anayechukia Kutumiwa Kama ride ya Mafisadi, na Kwa Maneno yake, "Not me, aheri nikachunge ndege" Iweje huyu huyu atumike kama Upanga na Minyororo ya Uonevu. Iweje yeye akubali kutumika kama mbeleko ya CCM isivyo halali? Wapo Watu Makini na Wema ndani ya CCM na hawa hawahitaji Kubebwa na yeyote. Kwa anayofanya Bila Kujua ni Kustawisha wasiostahili CCM, akidhani anajiwekea Binafsi Mzingira mazuri. Ina faida Gani Kama Mh. Akashinda 2020 isivyo halali na akawa hajafanikiwa au Muda Mfupi tu mafanikio yake (ambayo kwa hali hii siyatabiri) yakayeyuka? Atakuwa amepata faida gani?
Mfano tu anavyokandamiza uhuru wa democrasia hafu ishu yake ya Tanzania ya viwanda ikashindikana,maisha yakawa mabaya zaidi,Raia wakapigika vya kutosha,matumaini yakayeyuka,hafu 2020 akafanya mizengwe akashinda tena watu watavumilia? hii minyaminya maana yake nini?
 
Back
Top Bottom