nyete ni shoga mmoja maarufu sanaNamba 11 muongeze na Nyete
Sifa zake zinajulikana kila kona ya JF.
pole sanaKama Mimi sipo hiyo list ni batili nilipo kuwa na miaka kumi na nne nilikula papuchi
UDININumber 1: kama sio prophet Muhammad hiyo ni uchafu haina maana
kwa sababu yupo kwenye avatar yako au?Hao wote hawamfikii fundi tesla
Yaan hao wote wajumlishe waweke pamoja
Hawatomfikia tesla wala kumsogelea huyo kwenye avatar yangu
Jinga kweliKama Mimi sipo hiyo list ni batili nilipo kuwa na miaka kumi na nne nilikula papuchi
Nishaandikakwa sababu yupo kwenye avatar yako au?
Kipimo cha IQ ni njia pekee inayoaminiwa kupima uwezo wa akili za mtu ambapo kwa kawaida binadamu wengi wana IQ ya kuanzia 90 mpaka 110 lakini watu wachache sana wana IQ level ya kuanzia 140 na kuendelea. Leo nimekuletea hii list ya watu kumi wanaoaminikia kuwa na akili hadi kufikia mwaka 2017.
1: Terrence Tao
Ni mwanahisabati kutoka Marekani ambaye anakadiriwa kuwa na IQ level ya 230. Terence Tao aliweza kufanya hisabati akiwa na miaka 2 na alipokuwa na miaka 7 aliweza kufanya hesabu ngumu za level ya Chuo Kikuu akiwa na miaka 20 alipata PhD. Mwaka 2006 alishinda medali ya Field na mwaka 2014 alipata tuzo ya Breakthrough prize in mathematics.
[http://dxzccmtp98vpc]
2: Christopher Hirata
Ni Mnajimu aliyebobea katika mambo ya anga ambapo kwa sasa anafanya kazi katika Shirika la Mambo ya Anga la Marekani ‘NASA’. Anatajwa kuwa na IQ level ya 225 ambapo akiwa na miaka 13 alipata tuzo ya Mwanahisabati Bora wa Dunia na kuweza kupata PhD akiwa na umri wa miaka 22.
[http://dxzccmtp98vpc]
3: Kim-Um -Young
Anachukua namba 3 kati ya watu wenye akili duniani akiwa na IQ level 210 ambapo mwaka 1990 Kim Ung–yong alishika rekodi ya Dunia ya Guiness kwa kuwa na IQ kubwa. Alipokuwa na na miezi 6 tu Kim Ung-Yong alikuwa anajua kuongea na alipofikisha miaka 3 aliweza kuongea Kijapan, Kikorea, Kiingereza na Kijerumani.
[http://dxzccmtp98vpc]
4: Rick Rosner
Watu wengi hawakuamini baada ya Rick Rosner kugundulika kuwa na IQ level ya 192 kwa kuwa kazi alizokuwa anazifanya hazikuendana na akili yake. Kabla ya kuwa mwandishi wa kipindi cha Jimmy Kimmel Rick Rosner alikuwa dansa wa club za usiku, model na waiter.
[http://dxzccmtp98vpc]
5: Garry Kasaporov
Garry ana IQ level ya 192 na ameweka rekodi ya Mchezaji Bora wa Chess Duniani kwa sasa anajihusisha na siasa kwa kiasi kikubwa ambapo alitaka kugombea Urais wa Urusi dhidi wa Raisi wa sasa Vladmir Putin.
[http://dxzccmtp98vpc]
6: Galileo Galilei
Licha ya kuwa mwanasayansi mkubwa aligundua mambo mbalimbali ya Anga , Hisabati na Fizikia. Galileo ameshika namba 6 kati ya watu wenye akili duniani akiwa na IQ level ya 185. Hadi kufikia mwaka 2017 Mwanasayansi huyu hajatoka kwenye top ten na anajulikana zaidi kwa ugunduzi wake wa umbo la dunia.
[http://dxzccmtp98vpc]
7: James Woods
Ni mcheza filamu kutoka Marekani ambaye ameshinda tuzo mbalimbali za Academy na anatajwa kuwa na IQ level ya 180. Akiwa na umri mdogo Jamaes alikuwa anaweza kufanya hesabu ngumu licha ya uwezo wake wa mambo ya Sayansi Garry aliamua kuwa mcheza sinema.
[http://dxzccmtp98vpc]
8: Judit Polger
Ni mwanamke pekee kwenye list hii hadi kufikia mwaka 2017. Judith anatajwa kuwa na IQ level ya 170 akiwa na miaka 15 tu aliweza kumshinda mshindi wa dunia kwenye mchezo wa chess.[http://dxzccmtp98vpc]
9: Sir Endrew Willes
Ni mwanahisabati na mkufunzi wa Chuo Kikuu cha Oxford nchini Marekani ambapo anatajwa kuwa na IQ level ya 170. Andrew Wiles aliweza kukokotoa hesabu ngumu zaidi duniani zinazoitwa Fermat’s Last Theorem na mwaka 2016 alishinda tuzo ya Abel Prize.
[http://dxzccmtp98vpc]
10: Albert Einstein
Ukitaja jina la Eistein untakuwa unamaansiha “Genious” ambapo mwanafizikia huyu ameweza kujijengea jina kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya Sayansi na mambo ya Anga. Einstein anatajwa kuwa na IQ level ya 160
Bila kusahau na mimi mwenyewe
Source:-Mtandaoni
usiandike now days bali nowadays. Kuwa makini na lugha za watu!!Yupi mkuu? huyu anayekula raha dunia nzima?Nchi yetu iliheshimika sana kipindi cha hayati Nyerere now days imegeuka jalala la ma zero Brain
akili sio kuweza masomo ya darasani...huyo einstein na uharibifu wake wa hydrogen bombs unaita akili!!?..ni kipaji tu kama cha riadha na mpira,generally huwezi sema akili ni nini?
Teh ...Leo umekula cha wapi Tesla?
Umechokoza madude, madude utapata.
Godel's incompleteness theorems would check all your ambitions at some esoteric material anhilitation and trapeze art escapism on a universal scale, for the foreseeable future at least.
https://plato.stanford.edu/entries/goedel-incompleteness/
But eventually, if the heat death of the universe theory is correct, in a time scale that is humanly incomprehensible (10^100 years it is estimated) for all matter, including matter trapped in black holes, will eventually evaporate.
https://medium.com/starts-with-a-bang/how-do-black-holes-evaporate-5463dbda6832
https://en.wikipedia.org/wiki/Heat_death_of_the_universe
There used to be a time when it was thought that matter trapped in black holes is irredeemably unrecoverable to the rest of the universe, until the quantum characteristics of Heisenberg's Uncertainty principle, particularly to do with virtual particles and quantum entanglement drove us to Hawking Radiation, which suggests that, eventually, even black holes will evaporate.
https://en.wikipedia.org/wiki/Hawking_radiation
First incompleteness theoremUmechokoza madude, madude umepata.
Umeyaelewa lakini?
Umechokoza madude, madude umepata.
Umeyaelewa lakini?
Hahaha, kila Kiranga ana Kiranga wake, mimi mwenyewe nadesa tu hapo.Wamesahau kukuweka wewe hapo mkuu
Nilisahau hili !