List ya waliotabiriwa kifo 2017: Malkia na Mugabe wapo

Hao wa Forbes ni mmoja mmoja Hizo Family ni Matrillionea na ubilionea walishavuka karne ya 18 wao wapo pia kwenye Forbes kama zile Twin Tower za Marekani zilizobomolewa zilikuwa ni za Rothschild family
sawa sawa.
 
Hizo namba za kwanza kabla jina zinamaanisha nn?
Rank....... Prev..........Year Appear................ Name............... Age ............... Description Discuss
1...............10 ...............15...........................Kirk Douglas........... .101 ............... . Actor

Mkuu hiyo rank ya kwanza ni mwaka huu 2017 ndio amewekwa list namba moja kwa kutabiriwa kufa na hiyo ya pili katika list ya mwaka 2016 alikuwa katika list namba 16. hiyo ya Year Appear ni mfululizo wa miaka aliyotabiriwa kufa ndani ya miaka 15 iliyopita alikuwepo kwenye list. Nilikuwa na edit vizuri ila nikipost zina jikusanya wacha niweke dot
 
Rank....... Prev..........Year Appear................ Name............... Age ............... Description Discuss
1...............10 ...............15...........................Kirk Douglas........... .101 ............... . Actor

Mkuu hiyo rank ya kwanza ni mwaka huu 2017 ndio amewekwa list namba moja kwa kutabiliwa kufa na hiyo ya pili katika list ya mwaka 2016 alikuwa katika list namba 16. hiyo ya Year Appear ni mfululizo wa miaka aliyotabiriwa kufa ndani ya miaka 15 iliyopita alikuwepo kwenye list. Nilikuwa na edit vizuri ila nikipost zina jikusanya wacha niweke dot
Shukrani sana mkuu ujinga mzigo ndg yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom