HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,195
Membe alisema kuwa akiwa rais waliokuwa wanamkosoa (akina Pasco, Ulimwengu, Jf members, etc) itabidi wakimbie nchi (wakimbilie Kenya) kwa bahati yao hajawa rais (labda wataondoka Membe akiwa Waziri Mkuu).
Sasa kuna hawa waliokuwa wanamkosoa Magufuli na wengi wao wako serikalini hatma zao zikoje kwenye zama hizi ambazo tuna watawala waliojaaa siasa za visasi hata kwa wapiga domo mitaani?
Sasa kuna hawa waliokuwa wanamkosoa Magufuli na wengi wao wako serikalini hatma zao zikoje kwenye zama hizi ambazo tuna watawala waliojaaa siasa za visasi hata kwa wapiga domo mitaani?