cuf wapo kumi.ccm wapo simba,mlaki,anna abdallah na daftari wengine tutawajuza...............chadema wapo abwao,komu na lucy owen..............m
Asante lakini habari hii si kamili bali nusu nusu. Anyway tutakutana nayo magazetini.AMANI NA IWE KWENU WANA GREAT THINKERS!
KWA MUJIBU WA TBC TAIFA, JUMLA YA NAFASI 88 YA VITI MAALUMU IMETOKA NA WENGINE WATAONGEZWA BAADAE. KTK LIST HIYO CCM NI VITI 65 NA CHADEMA NI 23. MENGINE TUTAWAJUZA KADRI TUPATAPO MORE INFO. :israel::israel:
Kama hizo namba ni sahihi basi kura za wabunge CHADEMA imepata chache kulinganisha na asilimia alizopata rais wao. Upande wa CCM inaelekea wabunge wamepata kura nyingi kuliko alizopata rais wao. CUF watakuwa wamepata kura za wabunge ambazo zinakaribiana sana na kura alizopata profesa.
CHADEMA watatoka kuwa na viti 6 mpaka 23+ wakati CCM watatoka viti 58 mpaka 67+. CUF ndio watabaki pale pale walipokuwa 2005.
Kumbuka mwaka huu viti vimeongezeka maana ni 40% wakati 2005 ilikuwa 30%

Mtanzania, naona mahesabu yako yana utata.
Kwa mpangilio wako na mahesabu, unaonyesha kuwa CCM watakuwa (kwa uwiano wa asilimia za kura za wabunge vs Rais) wamepata ZAIDI kuliko CHADEMA, hapo hapo unaweka idadi ambayo inakinzana na logic yako.
CHADEMA kutoka 6 hadi 23+ ni ongezeko la 17+ (ongezeko sawa na takribani 283%).
CCM kutoka 58 hadi 67+ ni ongezeko la 9+ (ongezeko sawa na takribani 16%).
Sasa hapo kwa logic na mpangilio wako, sijui unaona nani ana ongezeko kubwa.
Ukiangalia kura za Urais (CCM Kikwete 2005 - 82%, 2010 - 61%), CHADEMA (Mbowe 2005 - 11%, Slaa 2010 - 26%), hapo pia utaona kuna ongezeko kubwa kwa mmoja wao kulikoni mwingine.
Na hii ni kwa mpangilio wako kwenye nyekundu hapo juu.
Kumbuka, kuongezeka kwa viti maalumu kutoka 30% hadi 40%, havibadilishi rate ya ongezeko (gari la uwezo wa tani 10, litabeba tani 10 tu hata kama litaenda safari 2 au 20)
Ndege ya Uchumi,Mkuu Mtanzania unaweza Usiwe sahihi kwa Sababu Jumla ya kura za Uraisi siyo Lazima ziwe sawasawa na Jumla ya Kura za Ubunge