Elections 2010 List ya viti maalumu yatoka

ccm ni chama changu lkn nahis shetan kaingia nyumba hii_cjui hatuna wanaofikir au ndo kugawana urith wakat mzee wa kaya anaelekea kulitelekeza taifa hili_Huu ujinga wa Viti maalum umeanzia kwa kumpa madaraka bi.mdogo kuna mazingatio yoyote ya kimbunga kilichotukuta kwel? Hiv huyu mzee vp? Ana malengo gan na nch hii? Kwa kwel
 
Ndege ya Uchumi,

Unaweza kuwa right. Assumption yangu ilikuwa kwamba waliopiga kura za ubunge pia walipiga kura za urais.

Hiyo haikuwa detailed analysis ila nilitaka kuangalia uhusiano wa kura za wabunge na marais wao. Inaelekea kila kitu kimekuja kama ilivyotegemewa upande wa CHADEMA. Slaa alikuwa maalufu kuliko wabunge wake.

Upande wa CCM, tuliambiwa JK alikuwa maarufu kuliko wabunge wake lakini matokeo haya yanaonyesha huenda haikuwa kweli.

Ila ikumbukwa kuwa kura zilichakachuliwa pande zote, urais na ubunge, kwa hiyo idadi hiyo iliyotolewa imechakachuliwa ili kupunguza idadi ya wabunge. Anyway kama 11 walimake noise za kutosha hao 45 watapuliza mavuvuzela hadi spika chenge avae miwani maskioni.
 
ccm ni chama changu lkn nahis shetan kaingia nyumba hii_cjui hatuna wanaofikir au ndo kugawana urith wakat mzee wa kaya anaelekea kulitelekeza taifa hili_Huu ujinga wa Viti maalum umeanzia kwa kumpa madaraka bi.mdogo kuna mazingatio yoyote ya kimbunga kilichotukuta kwel? Hiv huyu mzee vp? Ana malengo gan na nch hii? Kwa kwel
 
Hawa wabunge wanamuwakilisha nani bungeni? Constituency yao iko wapi na wanawajibika kwa nani ?

Ukiangalia historia ya meteoric rise ya magoigoi wengi kama Kikwete imeanza humuhumu kwenye ubunge wa kupewa mezani.

Taratibu mnapandikiziwa hata mafamba, mpaka mnayazoea.

Real talk.
 
ccm vit maalum

E kibonde
Judith wambura
Vick kamata
etc

Hallow Jeykey huyu E KIBONDE ndo yule Ephraim Kibonde wa Mawingu media au dada yake Eda Kibonde?? Ila Ephraim Kibonde anastahili viti maalum kwakuwa alijipendekeza sana wakati wa kampeni hadi akakubali kupewa swali la kumuuliza JK... Na leo nimemskia anapiga debe Pinda arudie u pm cjui nako kaahidiwa kitu?
 
Hawa wabunge wanamuwakilisha nani bungeni? Constituency yao iko wapi na wanawajibika kwa nani ?

Ukiangalia historia ya meteoric rise ya magoigoi wengi kama Kikwete imeanza humuhumu kwenye ubunge wa kupewa mezani.

Taratibu mnapandikiziwa hata mafamba, mpaka mnayazoea.

Real talk.
Hapa ndio katiba yetu ina udhaifu mkubwa.
 
ccm ni chama changu lkn nahis shetan kaingia nyumba hii_cjui hatuna wanaofikir au ndo kugawana urith wakat mzee wa kaya anaelekea kulitelekeza taifa hili_Huu ujinga wa Viti maalum umeanzia kwa kumpa madaraka bi.mdogo kuna mazingatio yoyote ya kimbunga kilichotukuta kwel? Hiv huyu mzee vp? Ana malengo gan na nch hii? Kwa kwel
 
mkuu ccm walikuwa na viti maalumu 80 bunge lilokwisha,angalia mtandao wa bunge.chadema 6, cuf 14

Hapana, bunge lililopita lilikuwa na viti maalum jumla 75 kwahiyo CCM wasingeliweza kuwa na viti 80. 2005 walitumia 30% ya wabunge wa kuchaguliwa.

List unayoisema kule website ya bunge ni list ya wanawake wote waliokuwa wabunge na sio viti maalum. Ukipita huko angalia na utakuta baadhi ya wanawake pamoja na majimbo yao.
 
Hawa wabunge wanamuwakilisha nani bungeni? Constituency yao iko wapi na wanawajibika kwa nani ?

Ukiangalia historia ya meteoric rise ya magoigoi wengi kama Kikwete imeanza humuhumu kwenye ubunge wa kupewa mezani.

Taratibu mnapandikiziwa hata mafamba, mpaka mnayazoea.

Real talk.

Kiranga,

Kama tunashindwa kuwapa kura wanawake huko majimboni labda viti maalum ndio njie pekee ya kuwa na uwiano mzuri kati ya wanawake na wanaume bungeni.

Ukiangalia mwaka huu, kati ya wabunge 239, wanawake hawazidi 30. Je wanawake hawana uwezo huko majimboni? Hapana, nafikiri ni mfumo dume wetu ambao unawafanya wanawake wasiwe kwenye the same level playing field.

Labda namba tu imekuwa kubwa mno na pia viti maalum vitumike kuwafanya wanawake watambulike kwa miaka mitano na baada ya hapo wakagombee majimboni kama alivyo fanya Mdee wa CHADEMA pamoja na wanawake wengine.
 
duuh nyumba ndogo zote lazima ziingie mjengoni!

Inafaa mtu uwe na peremende kidogo mfukoni, unaposikia njaa kwa mbaliiii unakuwa na kitu chako cha kumumunya mumunya yahe ili kupunguza makali ya njaa au kusafisha kinywa kidogo.
 
Kiungani,

Hapo juu hesabu zako zimenichanganya na nimeshindwa kukuelewa.

Nilichoandika ni kwamba inaelekea kwenye ubunge CHADEMA wamepata kura chache kuliko za urais. Kitu ambacho nilitegemea maana Slaa alikuwa maarufu kuliko wabunge wake. Kama wana viti 23 katika 102 ina maana wana around 23% ya kura za ubunge. Lakini kwasababu unatoa kura za vyama vidogo (kwasababu havishiriki mgao wa viti maalum kwa sababu ya kukosa at least 5% ya kura) basi hiyo asilimia 23 inashuka na kuwa chini ya asilimia 23. Ndio maana nika conclude kwamba wabunge wamepata kura chache kuliko rais wao maana Slaa alipata zaidi ya 26%

Upande wa CCM, kama wana viti at least 67 ina maana wamepata kura around asilimia 67 za wabunge wakati rais wao alipata kura asilimia 61. Hivyo conclusion yangu ya kwamba wabunge wamepata kura nyingi kuliko rais wao.

Hiyo ya wabunge kuongezeka kutoka 6 kwenda 23 ilikuwa haina uhusiano na analysis ya hapo juu. Ilikuwa ni information ya ziada tu.

Na hiyo ya CCM kutoka 58 kwenda 67 pia ilikuwa information ya ziada. Ndio maana nikaonyesha effect ya 40% maana mtu mwingine angeshangaa iweje CCM wamepata kura chache lakini viti viongezeke?

Nafikiri umenielewa!

Hapana analysis yako ina mushkeli kidogo mkuu, umesahau kuwa CHADEMA haikusimamisha wagombea Ubunge kwenye majimbo mengi tu lakini majimbo hayo hayo bado wananchi walipata fursa ya kumpigia kura Dr. (PhD) Slaa kwenye nafasi ya Urais. Kwa mantiki hiyo basi ni lazima Dr. atakuwa amepata kura nyingi zaidi ya wagombea wote (combined) wa viti vya Ubunge kupitia CHADEMA.
 
Kwa vile walichakachua hata kupata uwiano wa ukweli ni vigumu sana,kura hazieleweki yaani tunaenda kama gari bovu basi na iwe hivyo hivyo tuatajua mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom