Elections 2010 List ya Viti Maalum CCM: Efraim Kibonde Yumo??

Status
Not open for further replies.
Many problems that confront us today are created by CCM, whether they are violent conflicts, destruction of the environment, poverty or hunger. These problems can be resolved thanks to human efforts by understanding that we are brother and sister and by developing this sense of closeness. We must cultivate a universal responsibility toward each other and extend it to the planet that we have to share.
 
Wabunge wa Viti Maalumu 23 wa CHADEMA ambao majina yao yamepitishwa na mikoa wanayotoka kwenye mabano ni pamoja na Lucy Owenya (Kilimanjaro), Esther Matiko (Mara) Mhonga Luhanywa (Kigoma), Anna Mallac (Katavi), Paulina Gekul (Manyara) na Conchesta Rwalumulaza (Kagera).

Wengine ni Suzan Kiwanga (Morogoro), Grace Kiwelu (Kilimanjaro), Suzan Lyimo (Kilimanjaro), Regia Mtema (Morogoro), Christowaja Mtinda (Singida), Anna Komu (Dar es Salaam), Mwanamrisho Abama (Zanzibar), Joyce Mukya (Arusha), Leticia Mageni Nyerere (Mwanza) na Naomi Kaihula (Dar es Salaam).

Majina mengine ya wateule hao ni Chiku Abwao (Iringa), Rose Kamili (Manyara), Christina Lissu (Singida), Raya Ibrahim Khamis (Zanzibar), Philipa Mturano (Dar es Salaam), Mariam Msabaha (Zanzibar) na Rachel Mashishanga (Dar es Salaam). Wabunge hao ambao wanatarajia kusafiri kwenda mjini Dodoma kuungana na wenzao, wanafanya idadi ya wabunge wote wa CHADEMA hadi sasa kufikia 45.


Kwa mujibu wa habari hizo idadi hiyo inakifanya chama hicho kiwe na sifa ya kuunda kambi ya upinzani bila kutegemea wabunge wa kutoka vyama vingine vya upinzani.

Kwa upande wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho hata hivyo majina ya washindi hayakuweza kupatikana, kimepata idadi ndogo ya viti tofauti ilivyotarajiwa ambapo sasa wana viti 67 tu kutoka zaidi ya 80 mwaka 2005.

Kupitia asasi zisizo za kiserikali (NGO) ambalo wamo Ritha Mlaki na Anna Abdallah.

Wabunge wa viti maalumu CCM ni pamoja na viongozi wakuu wawili wa jumuiya ya wanawake wa chama hicho (UWT), ambao ni mwenyekiti wake, Sophia Mnyambi Simba na katibu wake, Amina Nassoro Makilagi.

Wengine ni Gaudentia Mugosi Kabaka, Ummi Ally Mwalimu, Agnes Elias Hokororo, Martha Jachi Umbulla, Lucy Thomas Mayenga na Faida Mohamed Bakari.

Walioteuliwa wengine ni Felista Alois Bura, Kidawa Hamid Saleh, Stellah Martine Manyanya, Maria Ibeshi Hewa, Hilda Cynthia Ngoye, Josephine Johnson Genzabuke na Esther Lukago Midimu.

Wengine ni Maida Hamad Abdallah, Asha Mshimba Jecha, Zarina Shamte Madabida, Namalok Edward Sokoine, Munde Tambwe Abdallah, Benardetha Kasabago Mushashu, Vick P. Kamata, Pindi Hazara Chana, Fatuma Abdallah Mikidadi, Gertrude Rwakatare, Betty E. Machangu, Diana Mkumbo Chilolo, Fakharia Shomari Khamis, Zaynabu Matitu Vulu, Abia Muhama Nyabakari, Pudenciana Kikwembe, na Lediana Mafuru Mng'ong'o.

Walioteuliwa wengine ni Sarah Msafiri Ally, Catherine V. Magige, Ester Amos Bulaya, Neema Mgaya Hamid, Tauhida Galos Cassian, Asha Mohamed Omari, Dkt. Fenella E. Mukangara, Terezya Lwoga Huvisa, Al-Shaymaa Kwegir na Margreth Mkanga.

Angellah Jasmin Kairuki, Zainab Rashid Kawawa, Mwanakhamis Kassim Said, Riziki Said Lulida, Devotha Mkuwa Likokola, Christina Ishengoma, Mariam Salum Mfaki, Margreth Simwanza Sitta, Subira Khamis Mgalu, Rita E. Kabati, Martha Moses Mlata, Maua Abeid Daftari na Elizabeth Nkunda Batenga.
Wamo pia, Azza Hillal Hamad, Mary Machuche Mwanjelwa, Josephine T. Chengula, Bahati Ali Abeid, Kiumbwa Makame Mbaraka, Roweete Faustine Kasikila, Anastazia Wambura na Mary Pius Chatanda.


h.sep3.gif
 
Well ..siasa is a multi-billion dollar deal..kila mtu anaangalia ntoke vipi..ok ..kila la kheri wahishimiwa wabunge.
 
Hawa wabunge viti maalumu (CCM) hebu picha zao ziambatanishwe humu tubashiri nani atakuwa chakla ya mzee...
 
Kuna jimbo la IKULU. Lina viti visivyozidi 10. Kibonde atapata kimojawapo huko?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom