List ya movies zako pendwa za kivita (war movies)

Movie yangu bora kabisa ni "bad guys" star n Alexander Lou alitumwa kwenye mission aliikamilisha boss wake akamuua da hiyo scene nilikua nalia sana.... Nyingine ni
Bullet in the head
Delta force
Beyond enemy line ( tafuta hii movie kama hujawahi iona)
nu behind the enemies line mkuu..not BEYOND
 
Ni noma na nusu... Va damme ana bahati sana movie zake zote zimevunja vikombe kwa kabati ( box office ya kufa mtu)

Yaan ni zinauza balaa, mwingine Anord Schwarzenegger nae ana zali sana
ukongwe unasiaidia..walilishika saana soko la movie tangu kipindi kile..hii imesaida saanaaa
 
Kaka, h
  • Mayhem
  • Eastern Condors
  • First blood II
  • First blood IV
  • 1917 (?)
  • Heroes shed no tears
  • The Base
  • No retreat no Surrender 2
Hiyo namba Moja Mayhem unawapoteza watu. Mimi ndo najua unachokiongelea wengine utawapoteza. Hiyo Movie ilichezwa na Brent Huff Sam Hood na Movie inaitwa Born to Fight 1989 au Born to Win (aka Nato per combattere). Bonge la Movie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom