List ya maproducer wa music wakali tanzania

Freewine

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
257
212
Habari wakuu!
Kwanza napenda Ku declare interest kwamba Mimi ni mlevi wa mziki mzuri wa bongo fleva na soka la ulaya tu.
Wafuatao ni maproducer wangu watano bora ambao haipiti siku sijasikia ngoma kutoka kwenye mikono yao mitakatifu (kwenye gani husika)
1. Laizer wa WCB
2. Abber
3. Mr. T Touch
4. Abidadi
5. Maximizer
Weka na wewe list yako ilikuwapa maproducer wetu mashavu na waone kwamba watanzania tunawaelewa sana na wa dream kuteka dunia
 
Back
Top Bottom