List ya Mambo nisiyoweza kuyafanya mwanzo mpaka mwisho

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,544
44,690
1. Kusoma kitabu chochote kuanzia page ya Kwanza mpaka ya mwisho Bila kuruka sijawahi
2. Kuangalia movie kuanzia mwanzo mpaka mwisho Bila kugusa remote haiwezekani lazima tu Nita forward au nikastop kbs kuangalia
3. Kuangalia clip ya Hawa ma motivator speaker mwanzo mpaka mwisho Bila ku skip skip

Yako mengi siwezi kutulia nikayamaliza sijui kwanini maisha yamekuwa Kasi Sana kwa upande wangu
 
Kwangu siwezi kutomaliza hii kitu sijawahi
JamiiForums-1126188996.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom