List: Wachezaji 10 Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda Wote!

Messi ana vikombe 31 , Cr 7 ana vikombe 23.

Mwambie Messi kaipatisha u20 world cup tim yake ya taifa,, na ameingia final 1 world cup 2014 na mbili copa america,, na makombe ya club bingwa,copa delrey super cup, fifa club world cup and la liga chungu nzima....wakati Ronaldo tim yake ya taifa hajafanya chochote, teamates ndiyo wamebeba ndoo kwa msaada wa elder...Ronaldo alitoka dakika ya 8 kama sikosei. Uefa nako hivyo hivyo kama kawaida yake anasubiri atengewe afunge ikala kwake :D:D
 
Fernando Torres, Pique , Ramos. Wamebeba World Cup , UERO vipi walistahili waingie top ten?
Tatizo hamjui ,mnakosoa msichokifaham
Nafikir watu wanaangalia mafanikio ya kitimu badala ya ufundi binafsi wa mchezaji hope dinyo lazima awepo xavi atoke
 
Yaani unaandika tu!

Eusebio da Silva a.k.a Black Panther humfahamu au?
 
Lazima ufumbe macho kwanza
1.Pele & Garicha
2.Maradona & usebio
3.Messi
4.Oliver khn
5.Gard mullar
6.Gaucho,Romario & Neymer
7.CR7
8.Delima & zidane
9.Platinii
10.Xavi ,iniestar & Steve Gerad

Ni top 10 japo 17
 
Ronaldinho Gaucho

Thierry Henry

Zinedine zidane

Cristiano Ronaldo

Lionel andress Messi

Ronaldo de Lima

Mohammed aboutrika

Ricardo Kaka

Diego maradona

Santiago Cazorla.
 
Ugomvi hautakuja kupata majibu kwasababu watu wanaleta mapenzi binafsi kwa mchezaji na kuacha dhima ya mada.
Mada inasema mchezaji bora wa muda wote...alafu mtu anamtaji mchezaji alieshine kwa muda wa miaka 3 katika ubora akafu akawa wa kawaida.
Uchambuzi ukishaivaa kwa mapenzi basi inakua ubishi.
 
Pele
Maradona
Messi
Ronaldinho
Zidane
Ronaldo de lima
Eusebio.
Iniesta
Roger Milla.
George Weah..
 
75

Ronaldinho hayupo mkuu...
hao wote hawamkaribii....

Acha dharau.....
 
Back
Top Bottom