List of taxes, licenses, fees and duties applicable by Tourism sector

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
1. TALA License
2. EURA taxlYo charged by TANESCO from October 2009
3. REA tax 3Yo charyed by TANESCO from October 2009
4. VAT
5. Corporation Tax
6. Withholding Tax
7. Stamp duty n '
8. Occupational & Safety Health Authority compliance certificate
9. Park fees
10. Annual vehicle road license fees
1 1. Safety week stickers
12.Land rent.
13. Property tax
I4. N.S.S.F
15. Skills & Development Levy
16. Municipal Service levy
17. Bedding levy-Hotels
1 8. Concession Levy-Hotels
19. Registration of Vehicles
20. Import duty
21 . Local Community fees
22.Bar license-Hotel
23. Camping fees to TANAPA
24. Ngorongoro Crater service fees
25. Rescue fees - Mountain climbing
26. Excise duty of 0.15Yo charged by banks on payments.
27. Tourism development levy introduced from Oct 2013.
28. Business Licence fees paid to Ministry of Industry & Trade
29. Residence permit fees
30. Radio Licence fees paid to TCC
31. Wildlife Management fees
32. SIII\4ATRA fees paid to Surface & Marine Transport Regulatory Authorit
 
Duh! nchi gani hiyo......Mtaiua tourism industry.....mtafute njia zingine za mapato
 
eeeh
 
iyo au hizo taxes ni kwa shughuli moja au zote... mf. kusafirisha, kuingiza, hotels, nk... au kila taxes ina kuwa applicable kutokana na aina ya activities ktk sekta ya utalii...?
 
Soma vzr kichwa Cha habari mkuu mbona imejitosheleza.....
 
sawa taxes za magari zipo zina eleweka... ila ukitaka fanyia sshughuli flani lazima uta chargewa taxes kutokana na shughuli husika au uta samehewa...

elewa vizuri mkuu... mimi nataka tuelezane vizuri... mf. mimi nina hotel sina magari nita chajiwa na taxes za magari shughuli ambazo sizifanyi japo sekta ni moja ya utaliii?
 
hiyo ime include wadau wote wa sector ya utalii.chakufanya angalia wewe inafanya biashara ganinya utalii then chukua taxes zako zinazokuhusu baas!
 
Wakati mwingine tunakuwa kama mazuzu fulani hivi! Hivi zote hizo analipa mtu anayeingia mbugani au zingine zinalipwa na wenye makampuni? Sasa kama zinalipwa na makampuni kuna ubaya gani? Yaani unataka mwenye gari aingize mbugani kwangu bila kulipia chochote? Hao wenye makampuni ni sawa tu, labda wapunguziwe watalii ili tuwavutie wengi!! Halafu ingependeza kama ungeweka na %-age zake ili tuone usije ukakuta kuna fees zingine ni 0.01%
 
Kila sector ni hivyo hivyo... vibali kibao, kodi lukuki...

Cha ajabu biashara zinaendelea tu bila wasi wasi...

Cc: mahondaw
 
Wakati mwingine tunakuwa kama mazuzu fulani hivi! Hivi zote hizo analipa mtu anayeingia mbugani au zingine zinalipwa na wenye makampuni? Sasa kama zinalipwa na makampuni kuna ubaya gani? Yaani unataka mwenye gari aingize mbugani kwangu bila kulipia chochote? Hao wenye makampuni ni sawa tu, labda wapunguziwe watalii ili tuwavutie wengi!! Halafu ingependeza kama ungeweka na %-age zake ili tuone usije ukakuta kuna fees zingine ni 0.01%
Wakati mwingine tu??🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom