List of shame, mafisadi wa elimu Tanzania; updates!

Ninavyoamini ni kwamba watu hubadilika kitabia na kifikra pia. Sasa ndugu zangu wana JF naombeni mnisaidie je, ile list of shame iliyosomwa mwembe yanga bado ipo vilevile na members wake wa awali au members wamepungua, au wameongezeka?
Lingine ni kuhusu mafisadi wa elimu waliorodheshwa kwenye kitabu cha bw. Kainerugaba msemakweli. Je, wale mafisadi hawajafanya jitihada za kutafuta certificates ambazo ni genuine? Nakumbuka mheshimiwa lukuvi alikuwemo kwenye hiyo list pia.
Asanteni


Badala ya kuwauliza walioiandaa unatuuliza sisi. Kwani tunajua vigezo ambavyo walivitumia kuiandaa?
 
jitu kama nchimbi ni jitu ambalo mishipa ya noma ilishakatika,..anasomea phd mzumbe huku anaitwa dokta,na phd kaanza kusoma baada ya kusemwa...mijitu mingine bwana..
 
Kitabu kimeanza na Lukuvi kama ifuatavyo:
Ni fisadi taaluma kwa sababu amedanganya ni msomi mwenye shahada ya masuala ya kimataifa na diplomasia yaani Bachelor of Art(international Studies and Diplomacy)wakati elimu yake ni darasa la saba na ualimu wa shule msingi(upe).Hajawahi kuingia darasa lolote wala kufanya mtihani wowote wa gigrii hiyo,Taarifa za kweli baada ya kumaliza elimu ya msingi 1975 alienda kusomea ualimu wa shule ya msingi chuo cha ualimu Tabora.
Mwaka 1980 kwa muda mfupi alienda Iringa kujifunza masuala ya usalama wa taifa.
Mwaka 1985 alienda Moscow-Urusi kujifunza siasa kwa miezi michache.
Wengine waliopo kwenye orodha ni:
Anthony Diallo
Deo Kamara
Emanuel Nchimbi
Viktor Mwambalaswa
Omar Kwaang
Makongoro Mahanga
Mary Nagu.
 
Migulu aka savimbi...milugo yule wa muungano wa Tanganyika na Zimbabwe...sijui na yule mwakilishi wa Nzega aka rahisi mtarajiwa...NCHI INA DRAMA HII dunia nzima
 
Back
Top Bottom