List of shame, mafisadi wa elimu Tanzania; updates!

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Ninavyoamini ni kwamba watu hubadilika kitabia na kifikra pia. Sasa ndugu zangu wana JF naombeni mnisaidie je, ile list of shame iliyosomwa mwembe yanga bado ipo vilevile na members wake wa awali au members wamepungua, au wameongezeka?
Lingine ni kuhusu mafisadi wa elimu waliorodheshwa kwenye kitabu cha bw. Kainerugaba msemakweli. Je, wale mafisadi hawajafanya jitihada za kutafuta certificates ambazo ni genuine? Nakumbuka mheshimiwa lukuvi alikuwemo kwenye hiyo list pia.
Asanteni

Mkuu utakua umefanya jambo la busara kama ukituwekea hicho kitabu hatukupata fursa ya kukiona so tuwezeshe mkuu kama ukimanage ila nijuavyo ile namba ya mwembe yanga imeongezeka rejea wale majizi alowataja Dr Slaa Raisi wangu kule Tabora

yaani wameongezeka..Kwa mfano mafisadi wa Elimu..Nape ni mmojawapo.. Soon utasikia amemaliza MPA Mzumbe..na cheti kitakuwa na "A" TUPU. but sijawahi kumwona Nape darasanai lakini kwenye exams yupo.. shule sio distance learning, ni full time..but mwanafunzi haonekani darasani halafu walimu wanamuacha anafanya exams. Ni ufisadi wa hali ya juu katika elimu. Na sio yeye tu, kulikuwa na MAGAMBA WENGINE wa2 nao darasani hawaonekani, ila utapishana nao kwanye ofis za walimu wakitokA kuhonga wapewe maksi za cheee..ilikuwa inatukera sana,

Ina maana NAPE anasoma MPA Mzumbe na darasani haonekani sio? Then kwenye paper yupo? Basi huyo yuko kama ABBAS TARIMBA amesoma Tumaini BA Law haonekani then kafaulu kupita wote.

Basi jamaa atakuwa bonge la JINIAZI. Nimemfikiria kichanya zaidi.

aise kweli sijawasikia wakisema lolote, ila ukikiweka hicho kitabu hapa itakuwa vema maana wengi inawezekana hawajakiona.

I promis kukiweka kama kitakua bado na kati ya hao wote akina nchimbi,lukuvi na wenzake akina kamara wangesha mshitaki ama kuweka vyeti vyao akiwamo nagu

unajua hawa majizi ya elimu , wanafikiria Tanzania bado ina watu wa darasa la saba wengi. Nishangaa sana niliposoma magazetini na kukuta , eti eti, DR marry nagu! eti DR Christian Mzindakaya! eti, DR Emanuel Nchimbi! Yaani mbali ya kupata uwaziri kwa njia ya kihuruma, wao walitaka bado wawe na jina kubwa katika jamii. wengine wakapata U bodi chairman! Sasa fikiria mwenyewe, ingekuwa ni nchi ya chama kimoja, tungekuwa na titlte za DR ngapi?

Jamani mwenye kitabu hicho au tovuti kinapopatikana toa maelekezo tafadhali.

hwa jamaa kuwa na Dr. hawavunji sheria yeyote ya nchi,tuache kuwasakama.tukitaka kudhibiti hili tuweke sheria na miongozo ili kudhibiti vyeti vya kununua USA.
mbona USA wanaviuza na hawasemwi.ndo maana hata Mh. wetu amekubali kuwa Dr.Dr.Dakta mara 3
na ndio sababu President wa Ukweli Mugabe wazungu walimvua u Dokta walio mpa baada ya kuwafukuza makabaila

Ina maana NAPE anasoma MPA Mzumbe na darasani haonekani sio? Then kwenye paper yupo? Basi huyo yuko kama ABBAS TARIMBA amesoma Tumaini BA Law haonekani then kafaulu kupita wote.
Duh!it is very amazingly,how can some one passes examination without attanding lectures!!!!!!!!

Mkuu utakua umefanya jambo la busara kama ukituwekea hicho kitabu hatukupata fursa ya kukiona so tuwezeshe mkuu kama ukimanage ila nijuavyo ile namba ya mwembe yanga imeongezeka rejea wale majizi alowataja Dr Slaa Raisi wangu kule Tabora
Ataipatawapi soft copy ili aiweke humu?kama ataweza kuiweka basi itakuwa ni wizi wa kazi ya mtu!!ikumbukwe kitabu hicho kilikuwa kinauzwa na hakikutolewa bure!!

wakuu nipo safarini, nikirejea dar es salaam nitafanya bidii ku-scan hicho kitabu then kukitundika hapa jamvini. Ila nasikia kimepigwa marufuku kwa sasa.

Nafikiri ni mmoja tu (Mh. Dr. Mathayo David Mathayo) ndiye aliyesafishwa bungeni na Spika wa bunge la 9 (Mh. Sitta) kwa vigezo kutoka TCU. Wawili wengine walimfungulia kesi mwandishi Msemakweli then wakaingia mitini ili jamaa asilete ushahidi.

Kuhusu Mh aliyesafishwa (Dr. Mathayo David Mathayo), binafsi nilishangaa kuona alikuwa akisoma Phd from 2000 to 2003 lakini aliupata U-senior Lecturer 2001. Ninavyojua kwanza huwezi kupanda kuwa senior Lecturer bila ya PhD, pili aliandika research papers lini za kumuwezesha kupanda ingali alikuwa akisoma kuanzia 1978 bila ya gap zaidi ya kuwepo overlapping. Mikanganyo mingine ni pale unapoonyesha alimaliza MSc. 2001, sijui kama mtu unaweza kuregister PhD wakati hujamaliza MSc, au ukawa unafanya vitu viwili kwa pamoja. Pia wakati anafanya MSc yake hiyo (1998-2001) huko South Afrika, inaonyesha pia alikuwa akifanya Postgraduate Diploma huko India (2000-2001). Labda atujulishe mambo yote haya yalifanyika online, then tutajiuliza authentic zake. Kiukweli niliishiwa matumaini na uwezo wa TCU, walifanya vile kwa kuhofia sababu jama ni waziri ama? Halafu huyu jamaa alikuwa akitumia jina na Msuya, sijui kwanini jina hili amelisusa ghafla tangu aingie ulingo wa siasa?

Parliament of Tanzania

Nilishawahi kusikia kuwa baraza letu la Mawaziri ndilo lenye wasomi wengi (PhD's & Prof's) kulinganisha na mabaraza ya nchi zinazotuzunguka. Nasikitika kuona hawatoi maamuzi yakinifu kwaajili ya kuendeleza resouces zetu na nchi yetu, ama ndiyo wasomi wenyewe wanaozungumziwa ndio hawa?

Back
Top Bottom