List of My Favorite Authors Playwrights and Poets

Habari za mchana wakuu
Leo nimekuja na orodha ya waandishi ambao kazi zao zipo kwa lugha ya kiingereza ninaowakubali zaidi. Wapo wengi sana ila hawa wachache ndo nimewakumbuka.

Waandishi wa novel za watu wazima
Sidney Sheldon
Danielle Steel
James Hadley Chase
Jeffrey Archer
Margaret Pemberton
Robert Ludlum
Mario Puzo
C. J Sansom

Motivation
Norman Vincent Peale
Robert Kiyosaki
Ben Carson
Dale Carnegie etc

Mashairi
Shel Silverstein
Langston Hughes
Rumi etc

Classic (wazamani)
William Shakespeare
Aesop
Aristophanes
Sophocles
Homer
Henry Wadsworth Longfellow
William Faulkner
Edgar Poe
Charles Dickens
Ralph Waldo Emerson

Vitabu vya Watoto
Francine Pascal
Mary Pope Osbourne
Roald Dahl
Barbara Parker
Enid Blyton
Beverly Claerly
R L Stine
J K Rowling
Dr Suess

Other Favourites
Chinua Achebe
Wole Soyinka
Ngugi wa Thiongo etc

Karibuni mtushirikishe na wakwenu
Baada ya kusoma hayo mavitabu tupe impact!....
Naskia ukiyasoma sana yanalinda ndoa et!
 
Back
Top Bottom