List of applicants who were allocated by tcu and are required to confirm their allocation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

List of applicants who were allocated by tcu and are required to confirm their allocation

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Msafiri Kasian, Aug 23, 2012.

 1. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  TCU inawataka watu wahakikishe vyuo na programs walizo pangiwa,tafadhali soma link hapa chini
  TCU Website
   
 2. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,316
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu tayari kuna thread inayoelezea hii kitu humu ndani, heading yake ni KUTOKA TCU LEO LEO, imeanzishwa na mtu anayeitwa Noah Gondwe jana usiku. Kabla ya kuanzisha thread mpya tujitahidi kusoma kwanza post zote mpya la sivyo kutakuwa na post nyingi za kitu kile kile.
  Lakini tunashukuru kwa kutuwekea hiyo link kwani hapa tutaenda moja kwa moja kwenye list ya majina.
   
 3. kapangejr

  kapangejr Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  me ni moja wao..xa nshachek xo wh@ nxt guyz?
   
 4. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Hakuna haja ya wewe kuendelea kulaumu hapo ARV,wewe unafikiri mtu kuandika :Topic: Kutoka tcu leo leo,niwangapi wanaweza kuelewa inahussiana na nini? Hapo ungeshauri watu waandike heading zinazoeleweka ili kunguza hili tatizo ndo ningekuona wa maana. Nyie ndo walewale mnaandika heading kuvutia wasomaji.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Baada ya kujiona inakuaje mkuu maana hawa jamaa hawajawapa watu muongozo wowote..
   
 6. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Hata mimi nimeona hilo tatizo,labda wenye tatizi hilo watuambie wanaona nini kwenye profile zao. Ama pengine tcu watatoa notice muda si mrefu.
   
 7. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  kaka wamekuandikia nini kwenye profile yako? kwa sababu tcu wametoa list bila maelezo.
   
 8. kapangejr

  kapangejr Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  til nw..ni Admitted in Bachelor of Science in Computer Science at Institute of Finance Management...wakati cna mpango na huo ukuda,ukizingatia me ni st.kayumba wataniua na hyo school fees
   
Loading...