List of African Countries with Hardest Working and Laziest People

Please leave me alone coz I'm seriously injured by this fake report. I'm keen to see the end of this. they should feel the drama.
1544185360947.png
 
Maajabu ni Kuwa Kenyans are hardworking and yet hunger sucks them in out,
And the Lazy Tanzania feeds the Hardworking Kenya,
Hiyo Hardworking is probably Mnajituma kutomba mbuzi na Ng’ombe
They put their hard work onto fuckin some goose hahahahahahahaha
 
What was the methodology used? If I may ask? It's funny Tanzania is lazy yet feeds Kenya. I am pretty sure the study was conducted in sole purpose to discredit Tanzania in the eyes of internstional investors.
What I know is this, nomber two foreign investors in Tanzania is Kanya behind England which is nomber one
 
MNAPENDA kuokoteza tu vyanzo twenye kutiliwa SHAKA.

wee hujiulizi nchi kama Nigeria, Cameroon, Chad, Angola, hazipo pado unakenua tu.

wale wenzenu wazushi, wameanza kutoa maelezo marefu yasiyo jibu chochote.
lazima kiwatokee puani.

Hehehe mnang'aka balaa lakini ndivyo ilivyo, vyanzo hata mpewe vya aina gani lazima mtahoji na kukatalia. Kwa mfano juzi hapa Global hunger index ambayo hufanywa na watalaam wa kisayansi tena kwa umakini mkubwa ilionyesha Tanzania muna njaa kuliko Kenya, ilipoletwa humu mkatilia mashaka na kukatalia mbali.
So, nyie ni wale wale, tunawaletea tu taarifa halafu tunaishia kupata kiki mnavyotokwa mipovu.
 
read the meaning of credible and reliable source.
ukiamini kila kitu na hata trash unayoletewa utakuwa mjinga kuliko asiyesoma machapisho. for a keen person, testing the credibility and reliability of the source is of utmost important.
 
Ukitilia mashaka kila kitu kisa hakiendani na unavyotaka iwe utakua mjinga zaidi na kuishi maisha yenye mateso mengi.
 
Ukitilia mashaka kila kitu kisa hakiendani na unavyotaka iwe utakua mjinga zaidi na kuishi maisha yenye mateso mengi.

not the opinions but the credibility of the source.

jamaa nilivyowapelekea ile orodha ya query zangu wanatoa MAJIBU ya kitoto mpaka unawashangaa.
 
not the opinions but the credibility of the source.

jamaa nilivyowapelekea ile orodha ya query zangu wanatoa MAJIBU ya kitoto mpaka unawashangaa.

Orodha ya query zako za kuokoteza kwenye internet na copy paste haziwezi zikajibiwa maana ulifaa kutumia query kama hizo kuhoji wakati huwa unapinga tafiti za taasisi kama UN zinazo onyesha Tanzania ilivyo maskini.
 
Back
Top Bottom