Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,882
- 2,813
Hawa jamaa ni wabishi sana. EAC wanaongoza kwa ufukara. EA ni wa pili. Ethiopia wanaongoza.Orodha ya query zako za kuokoteza kwenye internet na copy paste haziwezi zikajibiwa maana ulifaa kutumia query kama hizo kuhoji wakati huwa unapinga tafiti za taasisi kama UN zinazo onyesha Tanzania ilivyo maskini.