Elections 2010 List Kamili ya WanaCCM Waliopendekezwa Kugombea Nafasi ya Ubunge Tanzania Bara

Jeremiah Solomon SUMARI
67

Sekondari
JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI
ARUSHA

67


HANA HAYA YA KUZALIWA SI AKAKAE NA WAJUKUU ZAKE 67 ANATAFUTA NINI KAMA SI KUFIA KIDONDANI SHAME
 
mi nafikiri kabla ya kuanza kukimbizana na udini kwenye list tulinganishe na swala la SHULE jamani msipate dhambi ya BURE wakati majibu yapo wazi
 
Tangu lini vikao vya juu vya CCM vilianza kuwa mahakama za kusikiliza kesi za rushwa?


Hapo chacha sijui tuseme nini sasa?

Kukujibu nadhani walikuwa wanaficha madudu yao waliyoyavuruga kwenye kura za maoni nadhani kuna kamtu kana wa remote control makamba na chiligate sasa ndio wanafunika maozo yao ni uupuuuzi wa hali ya juuu sana inakuwa kama hawajui democracy kweli au ni unafki na fitna.

Najua watasingizia kamati ya maadili ndio imependekeza je hivi hakuna kamati ya maadili ya viongozi wa juu wa NEC wakoseaapo na kutoa matamshi yasina msingi kufikishwa nao kamati ya maadili? mfn KTB Mkuu CCM Y.Makamba alikiuka mapendekezo ya NEC kuhusu wapiga kura za maoni ndani ya CCM na kuwaambia wapige kura hivyo hivyo mtu aende na kadi ya chama peke yake bila kitamburisho cha taifa cha kupiga kura na kadi za CCM hazikuwa na picha wala stakabadhi ya kujiunga uanachama na malipo ya kila mwezi
 
Jina
Umri
Elimu
Jimbo
Mkoa

Dr. Batilda Salha BURIANI
45
Chuo Kikuu
JIMBO LA ARUSHA
ARUSHA
Jeremiah Solomon SUMARI
67
Sekondari
JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI
ARUSHA
Goodluck Joseph ole MEDEYE
52
Chuo Kikuu
JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI
ARUSHA
Dr. Wilbald Slaa LORRI
59
Chuo Kikuu
JIMBO LA KARATU
ARUSHA

[SIZE=3] Henry Daffa SHEKIFU [/SIZE]
64


Source: Website ya Chama Cha Mapinduzi - CCM

Dr. Wilbald Slaa LORRI[/FONT][/SIZE] ni nduguye na
Je huyu ni nduguye na Dr. Slaa wa Chadema?

Kitu kingine ninachojiuliza kutokana na taarifa za wagombea hawa ni kuhusu utumishi wa wakuu wa mikoa, nimeona Shekifu kaonyeshwa kuwa na miaka 64, mbona aliendelea kuwa mkuu wa mkoa?
 
Asiye kuwapo na lake halipo.If you are absent you lose your share Avumaye baharini papa kumbe wengi wapo.Shark is the famous one in sea the but they many others
 


Huyu amechanganya Jimbo au? Maana Mkoa ule unajulikana kwa kuwa na Ma Dr. na Ma Prof.!

Baba_Enock katika Post yako #82 nafikiri muanzisha Mada kuna mahali kakosea....Huko Kagera kuna Nkenge na Misenyi.Mama Asumptha ndiye Mshindi wa Misenyi na amemuangusha Dr.Kamala (Waziri wa Mambo ya East Africa) ambaye alikata rufaa lakini NEC/CC wametupilia mbali rufaa yake.Kuna tetesi kuwa Dr.Kamala anafanya mazungumzo na vyama vya Upinzani ili apambane tena na Asumptha Mshama.(Asumptha Nshunju ndio huyo huyo Mshama (Jna la Mumewe))
 
Asanteni kwa mchango wenu. Naomba mwenye info zaidi anifahamishe kama Aeshi ni mwanamke. Pia viti maalum idadi kamili ya wanawake waliopitishwa tupatieni tafadhali.

Na je vyama vingine wanatoa lini list yao?[/QUOTE
Hapa ni Majina ya Wanachama wa CUF wanaogombea Ubunge na Baraza la Uwakilishi - Zanzibar;




Tanga
Hussein Siyovelwa (Ilala);
Kimangale Mussa (Segerea);
Heko Pori (Ukonga);
Shaban Mapeyo (Kawe);
Shabaan Nassor (Kinondoni)
Mustafa Mungwe (Kigamboni)
Mussa Mbarouk (Tanga Mjini);
Remmy Shundi (Handeni);
Bakar Mbega (Mkinga);
Abubakar Bakari (Muheza);
Gogola Gogola (Mlalo);
Fabi Sozi (Bumbuli);
Abassy Mkankamghanga (Lushoto),
Jumaa Magogo (Korogwe Mjini);
Mohamed Asiu (Korogwe Vijijini)
Omar Masomaso (Pangani)

Kilimanjaro
Awadh Mwarabu (Same Magharibi).
Mtwara ni Hassan Abdallah (Mtwara Mjini);
Katani Katani (Tandahimba);
Clara Mwatuka (Masasi);
Mtikita Mtikita (Lulindi);
Hakika Maarifa (Newala)
Chikamba Wanainuka (Mtwara Vijijini)

Lindi
Salum Barwany (Lindi Mjini);
Ayubu Nassor (Mchinga),
Khalfan Mandanje (Mtama);
Madaraka Beyi (Liwale),
Nanjase Nanjase (Nachingwea),
Abubakary Kondo (Ruangwa),
Seleman Bungara (Kilwa Kusini)
Said Manoro (Kilwa Kaskazini).

Tabora
Edward Zombwe (Urambo Mashariki),
Kirungi Kirungi (Urambo Magharibi),
Hassan Mwigwayasila (Igalula),
David Kassoga (Tabora Kaskazini),
Kidumla Kidumla (Bukene),
Dominic Kizwalo (Nzega)
Abdallah Katala (Sikonge)

Kagera
Christina Kasimbazi (Bukoba Vijijini),
Nicolaus Batalingaya (Karagwe),
Twaha Taslima (Bukoba Vijijini),
Hamida Issa (Biharamulo Magharibi),
David Tibanywana (Chato)
Yahya Ndyema (Nkenge)

Arusha
Ghariby Baalawy (Arusha Mjini),
John Pallangyo (Arumeru Mashariki),
Adella Kileo (Arumeru Magharibi)
Navaya Ndaskoi (Monduli)

Mara
Mustafa Wandwi (Musoma Mjini),
Vedastus Msita (Mwibara)
Wilegi Songambele (Bunda)
Pwani ni Jafar Ndende (Mkuranga),
Seif Porwe (Kibiti),
Ali Kihambwe (Rufiji),
Wahabi Twalut (Mafia),
Adui Kondo (Kisarawe),
Zahoro Vuai (Bagamoyo)
Miraj Mtibwiliko (Chalinze)

Shinyanga
Mwalimu Mbukuzi (Shinyanga Mjini),
Khanipha Ruhinda (Maswa Mashariki),
Seif Baya (Maswa Magharibi),
Jackson Deodatus (Bukombe),
Shashu Lugeye (Solwa),
Sauda Kasiga (Msalala),
Hamisi Makapa (Kahama),
Creoface Magere (Mbogwe)
James Matinde (Kisesa)

Kigoma
Fatma Kinguti (Kigoma Mjini),
Salum Kajanja (Buyungu),
Athumani Hamisi (Muhambwe),
Rashid Kaduguda (Kasulu Magharibi)
Ibrahim Magara (Buhigwe)

Mbeya
Ezekia Mtafya (Ileje),
Asukile Kabango (Mbozi Magharibi),
Nkuyuntila Siwale (Mbozi Mashariki),
Yusuf Said (Kyela)
Shaweji Salinyambo (Mbarali)

Iringa
Mussa Fufumbe (Isimani),
Godfrey Hongele (Njombe Kaskazini),
Stanley Fwila (Njombe Kusini)
Jacob Mhanga (Njombe Magharibi)

Manyara
Rashid Mgaya (Babati Mjini),
Juma Nyeresa (Kiteto)
Eliseus Amedeus (Mbulu)

Ruvuma
Mazee Mazee (Tunduru Kaskazini),
Mohammed Mambo(Tunduru Kusini)
Hassan Mtwangambati (Namtumbo)

Morogoro
Willy Dikundile (Kilosa Kati),
Abeid Mlapakolo (Morogoro Mjini)
Blandina Mwasabwite (Morogoro Kusini Mashariki)

Mwanza
Komanya Athanas (Buchosa),
Mbaraka Chiru (Sengerema),
Peter Malebo (Geita),
Oscar Ndalahwa (Busanda),
Andrea Mkanga (Nyang’hwale),
Abdallah Mtina (Misungwi),
Omar Mbalamwezi (Nyamagana),
Mtebe Msita (Ukerewe),
Ligawa Ndalahwa (Kwimba)
Julius Samamba (Sumve)

Katavi
Aram Ndimubenya (Mpanda Mjini),
Athumani Kababende (Mpanda Vijijini)
Abbas Ally (Katavi)

Singida
Rashid Mindicar (Singida Mjini),
Sizimwe Kanyota (Singida Kaskazini)
Dalfina Patric (Singida Magharibi)

Dodoma
Ngomoka Joseph (Mtera),
Ngomoka William (Chilonwa),
Yahya Deni (Kondoa Kaskazini),
Hassan Missanya (Kondoa Kusini)

Tabora
Kapasha Kapasha (Tabora Mjini)

Zanzibar
Faki Haji Makame (Mtoni),
Rashid Soud Khamis (Bububu),
Hassan Omar Issa (Mfenesini),
Khamis Msabaha Mzee (Dole),
Khatib Haji Ali (Fuoni),
Ussi Juma Hassan (Mwanakwerekwe),
Hamad Ali Hamad (Magogoni),
Hemed Said Nassor (Dimani),
Seif Suleiman Kombo (Amani)
Khamisi Ali Khamisi (Kwamtipura)
Ali Juma Khamisi (Chumbuni),
Khamisi Mussa Haji (Kwahani),
Idarous Habib Mohamed (Kikwajuni),
Khalid Rajab Mghanah (Rahaleo),
Suleiman Khamis Ally (Mpendae),
Muhammad Ibrahim Sanya (Mji Mkongwe),
Mohamed Yussuf Maalim (Jang’ombe)
Ahmed Khamis Hamad (Magomeni)
Ramadhan Ali Mbarouk (Bumbwini),
Ali Rashid Ali (Kitope),
Othman Habibu Juma (Donge),
Ali Mati Wadi (Matemwe),
Yussuf Haji Khamis (Nungwi),
Rashid Khamis Rashid (Tumbatu),
Khamisi Suleiman Kombo (Chaani),
Hassan Omar Nahodha (Mkwajuni),
Abdi Mohamed Adeyoum (Uzini),
Ali Khamis Ame (Chwaka)
Shabaan Iddi Ame (Koani)
Mohamed Kombo Ali (Makunduchi),
Vuai Issa Haji (Muyuni),
Mussa Haji Kombo (Chakechake),
Ahmed Juma Ngwali (Ziwani),
Hamad Rashid Mohammed (Wawi),
Haji Khatib Kai (Micheweni)
Rashid Ali Abdalla (Tumbe),
Khatib Said Haji (Konde),
Kombo Khamisi Kombo (Mgogoni),
Mbaruk Salum Ali (Wete),
Khalifa Suleiman Khalifa (Gando),
Said Suleiman Said (Mtambwe),
Rajab Mbarouk Mohamed (Ole),
Rashid Ali Omar (Kojani),
Salim Hemed Khamis (Chambani),
Mohamed Habib Mnyaa (Mkanyageni),
Masoud Abdalla Salim (Mtambile),
Abdalla Haji Ali (Kiwani)
Ali Khamisi Seif (Mkoani)

Watakaowania uwakilishi katika Baraza la Wawakilishi
Nassor Ahmed Mazrui (Mtoni),
Bakar Haji Muhammad (Bububu),
Masoud Nassor Seif (Mfenesini),
Hasne Abdalla Abeid (Dole),
Asha Ali Fakih (Fuoni),
Idrisa Hamad (Mwanakwerekwe),
Abdilah Jihad Hassan (Magogoni)
Manzi Ibrahim Juma (Kiembesamaki)
Ali Juma Ali (Dimani),
Khamis Rashid Abeid (Amani),
Dk. Majaliwa Juma Seif (Kwamtipura),
Maulid Suleiman Juma (Chumbuni),
Hassan Juma Hassan (Kwahani)
Bakar Hassan Bark (Kikwajuni).
Omar Mussa Makame (Rahaleo),
Maharouk Abdalla Suleiman (Mpendae),
Ismail Jussa Ladhu (Mji Mkongwe),
Haji Ameir Muhunzi (Jang’ombe),
Zainab Omar Mzee (Magomeni),
Zahran Juma Mshamba (Bumbwini),
Hassan Khatib Kheri (Kitope),
Machano Omar Masanja (Donge)
Shauri Makame Mkadam (Matemwe)
Haji Mwadini Makame (Nungwi),
Makame Hamad Makame (Tumbatu),
Khamis Amour Vuai (Chaani),
Vuai Kona Haji (Mkwajuni),
Salma Hussein Zaral (Uzini),
Ali Mrisho Haji (Chwaka),
Khamis Malik Khamis (Koani)
Ameir Mussa Ameir (Makunduchi)
Suleiman Hassan Suha (Muyuni),
Omar Ali Shehe (Chakechake),
Rashid Seif Suleiman (Ziwani),
Saleh Nassor Juma (Wawi),
Abdalla Juma Abdalla (Chonga),
Subeti Khamis Faki (Michweweni),
Rufai Said Rufai (Tumbe),
Suleiman Hemed Khamis (Konde),
Abubakar Khamis Bakary (Mgogoni)
Asaa Othman Hamad (Wete)
Said Ali Mbarouk (Gando),
Salim Abdalla Hamad (Mtambwe),
Hamad Masoud Hamad (Ole),
Omar Ally Jadi (Kojani),
Mohammed Mbwana Hamad (Chambani),
Haji Faki Shaali (Mkanyageni),
Muhamed Haji Khalid (Mtambile),
Haji Hassan Hija (Kiwani)
Abdalla Mohamed Ali (Mkoani)

IMETOLEWA NA CUF MAKAO MAKUU


 
Back
Top Bottom