Elections 2010 List Kamili ya WanaCCM Waliopendekezwa Kugombea Nafasi ya Ubunge Tanzania Bara

Ndg. Jamal Abdallah TAMIMU
41
Elimu ya msingi
MUHAMBWE
KIGOMA

Elimu ya Msingi na tuhuma nyingi za UJAMBAZIII!
 
Nimeona hapo so far the Youngest candidate ni Mbunge mtarajiwa wa Nzega Dr. Hamis Kigwangala!!..only 35!!
 
Ndg. Jamal Abdallah TAMIMU
41
Elimu ya msingi
MUHAMBWE
KIGOMA

Elimu ya Msingi na tuhuma nyingi za UJAMBAZIII!
hahaha ya kweli hayo kaka!! isije ikawa ujambazi ni sifa mojawapo ndani ya ccm! mana majambazi ya kalam yamepita mengi!
 
Nimeona hapo so far the Youngest candidate ni Mbunge mtarajiwa wa Nzega Dr. Hamis Kigwangala!!..only 35!!

nadhani ni the youngest ni mwigulu singida 32yrs old....na mwingine tena ana 32yrs ila nimesahau jina lake naona tabu kuirudia list upya.
nasubiri list ya alnuur....samahani kama nimespel vibaya jina la kijarida
 
Duh Kweli hawa ndo sampuli yakina ZITTO Kabwela nao waliingia mjengo kwenye umri kama huo (31) TUNAtegemea changamoto kutoka kwao wakiwa mjengoni.
 
Hivi kweli sifa za ubunge kielimu ni zipi? Naona CCM kuna wagombea wengi wa wenye elimu ya msingi tu. Nakumbuka kuwa kuna kipindi huyu Malaria Sugu aliwahi kutoa pendekeza la kupandisha sifa za wabunge kielimu. Naona CCM ina wagombea wa kutoka kada zote kielimu mwaka huu, ingawa inafurahisha sana kuwa Lussinde wa elimu ya msingi kamshinda mkongwe Malecela, na Aira wa dalasa la saba kamshinda Profesa Sarungi.

Lussinde, Livingstone J.
38
Msingi
MTERA

Ndg. Jamal Abdallah TAMIMU
41
Elimu ya msingi
MUHAMBWE


Deo Kasenyenda Sanga (JAHPEOPLE )
54
Elimu ya Msingi
NJOMBE KASKAZINI


(i) Hussein Nassor AMAR
52
Elimu ya Msingi
NYANG’WALE


Stephen NGONYANI
54
Msingi
KOROGWE VIJIJINI

Ndugu Mahamud Abuu JUMAA
40
Msingi
KIBAHA VIJIJINI

Moshi S. KAKOSO
42
Shule ya Msingi
MPANDA VIJIJINI


Ndg, Luckson Ndaga MWANJALE
60
Kujiendeleza
MBEYA VIJIJINI


Ndugu Lameck Okambo Airo
44
Darasa la VII
RORYA
MARA

 
safi sana kigamboni,

mmeonyesha hakuna matata... chagua msomi, chagua the best, Ndugulile here we go
 
Nalitamani sana kama ungeweza kutengeneza statistics/ summary nzuri kwenye hiyo database yako kwa kila mkoa.

Mfano:
>Idadi ya majimbo kila mkoa
>Wagombea wanawake / wanaume kwa kila mkoa
>Wenye elimu Msingi/Sekondari/Chuo Kikuu kwa kila mkoa
>Wogombea chini ya miaka 35, Kati ya 36 - 44, 45 - 54, juu ya 55 kwa kila mkoa
>Idadi ya wagombea wapya, miaka mitano, na miaka kumi na kuendelea kwa kila mkoa

Thanks
 
Hivi kweli sifa za ubunge kielimu ni zipi? Naona CCM kuna wagombea wengi wa wenye elimu ya msingi tu. Nakumbuka kuwa kuna kipindi huyu Malaria Sugu aliwahi kutoa pendekeza la kupandisha sifa za wabunge kielimu. Naona CCM ina wagombea wa kutoka kada zote kielimu mwaka huu, ingawa inafurahisha sana kuwa Lussinde wa elimu ya msingi kamshinda mkongwe Malecela, na Aira wa dalasa la saba kamshinda Profesa Sarungi.

Lussinde, Livingstone J.
38
Msingi
MTERA

Ndg. Jamal Abdallah TAMIMU
41
Elimu ya msingi
MUHAMBWE


Deo Kasenyenda Sanga (JAHPEOPLE )
54
Elimu ya Msingi
NJOMBE KASKAZINI


(i) Hussein Nassor AMAR
52
Elimu ya Msingi
NYANG'WALE


Stephen NGONYANI
54
Msingi
KOROGWE VIJIJINI

Ndugu Mahamud Abuu JUMAA
40
Msingi
KIBAHA VIJIJINI

Moshi S. KAKOSO
42
Shule ya Msingi
MPANDA VIJIJINI


Ndg, Luckson Ndaga MWANJALE
60
Kujiendeleza
MBEYA VIJIJINI


Ndugu Lameck Okambo Airo
44
Darasa la VII
RORYA
MARA

hawa naona wapigwe chini, hata Richard Ndassa anasema kidato cha tatu, huyu si ni darasa la saba tu, hii ni chitalilo design, hapa chadema wakiweka mtu wanapita kama wanaria vile
 
nadhani ni the youngest ni mwigulu singida 32yrs old....na mwingine tena ana 32yrs ila nimesahau jina lake naona tabu kuirudia list upya.
nasubiri list ya alnuur....samahani kama nimespel vibaya jina la kijarida

Malaria isiopona itakuja sasa hivi
 
naona ccm wanapitisha watu namna hii, ili miswada ya sheria ipite kiulaini, halafu tinga tinga kashindwa na na shule ya msingi? Tinga tinga vs Bajaj
 
halafu Naibu waziri wa fedha ana elimu ya sekondari , lakini kwa sababu ni swahiba wa EL na alishriki katika kuchakachua fedha chafu katika mojawapo wa benki ndio akapewa asante yake, nafikiri watanzania tunatakiwa tuwe makini kidogo na hawa viongozi tuinao pewa au tunao chagua list kama hizi chadema ina bidi wawe wanatembea nazo
 
Kyela amepitishwa nani maana tuliaminishwa kadi 10,000 fake na kamati kuu itatumia busara!
 
Friends of JK,(friendsofjeykey) Mkuu hebu tuulizie huko vikaoni, kwa mantiki ipi Basil Mramba, mtu mwenye kesi nzito mahakamani akawa na uadilifu wa kukiwakilisha chama mjengoni kupitia jimbo la huko Rombo
ametusaidia vingi, barabara, kupata kazi, masomo nk.
 
Naona the oldest ni Mramba ana 70 years bado anangangana pamoja na Profesa Mwakyusa ana 68.
Ivi awa wa shule ya msingi uchangiaji wa hoja unakuaje.CCM ifike wakati waamue mgombea angalau awe na degree.Mtu wa darasa la Saba kweli ukimpeleka akachunguze tuuma kama za kule migodini alafu atuandikie report ataweza kama sio kuanza kuandikiwa.
Nasikia kuna mmoja wa Njombe alidisco darasa la pili so ata darasa la saba hakufika jamani tutafika kweli.
Pole mwakalebela manake si chini ya 30mil ulitumia kujinadi KARIBU CHADEMA
 
Nimefurai Mwangunga kupigwa chini aliuza vitalu uyu.Naona Lita Mlaki kaibukia viti maalum.
Kumbe kinachomuingiza bungeni mama Simba ni uenyekiti wa UWT
NAONA KUWE NA SHERIA YA KUTOKUWA NA WAZILI TOKA KWA WATU WA VITI MAALUM BSE UKO NI KUPEANA VYEO HAKUNAGA HAKI
 
Kama tunataka wawakilishi wawe na degrees za elimu, shurti basi nao wapiga kura wawe japo wamefika kidato cha sita ati, ili wawe makini katika kura za maoni hata kwenye uchaguzi mkuu!
 
Jamani naweza nikapata link ili nisome vizuri maana yalivyowekwa hapa, binfasi yananitatiza kabisa...mpangilio wake umekaa vibaya sana hasa ukilinganisha natumia miwani...........link plz
 
Back
Top Bottom