Lissu, Zitto, Polepole na Nderakindo kukutana kujadili Vipaumbele, Utendaji na Siasa za Tanzania

Naona wakongwe mnaparuana, sio mbaya siku moja moja.
No nilijisahau tuu kuhusu mwezi huu, swaumu huwa zinawaperekesha sana baadhi ya watu, wakati wa mwezi huu badala ya akili yao kuwatuma kuwaza mambo ya ibada, kutokana na kushikwa njaa, akili zao zina cease hivyo kujikuta sio tuu wanawaza ujinga mtupu, bali wanaandika ujinga na kuuliza maswali ya kijinga ambao nao ni ujinga mtupu!.

Paskali
 
Mkuu inatakiwa mtu kama wewe tena nwenye kutumia jina lako halisi kwenye forum kama hii,ambayo inajumuisha watu mbalimbali wenye heshima zao katika jamii inayowazunguka,na wasionna heshima zao katika jamii zinazowazunguka,uwe na lugha iliyotamalaki uungwana,hekima na inayoonyesha uvumilivu hatakama unakosewa.Kitendo cha wewe kuanika kugha kali hapa,ambayo haikustahili kutumika nawewe,unafanya makosa,hii ina-depict kua una low emotional intelligence.Learn to be patient,Mayalla.
 
Mkuu ki2, kwanza asante kwa angalizo, pili nitajitathmini emotion controll yangu when niko under provocation, I'm only human!, ile statement ya huyu Gagula kwangu kuhusu shule nimesomea ujinga, it keeps repeating and repeating, its more than 20 times!.

All and all nilimuomba sorry kwa mwezi huu!.

P.
 
Sawasawa,nimekuelewa ndugu.
 
Back
Top Bottom