Lissu, Zitto na Magufuli ni wazalendo wa kweli wa nchi hii..

Acha kuwachanganya zito na jpm na vitu vya kijinga

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Malloto shukrani Sana, hii sio kazi yako peke yako bali wtz wote tunatakiwa tuache kutumia hisia tutumie busara. Tuache siasa mahaba, vyama havitatupeleka popote lazima kitu fulani kifanywe na mtu wetu kufanya fulani tutakosa sifa ktk chama chetu bila kuangalia faida tutakayopata kama taifa tubadilike!!!!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekaa na kutafari bila majibu hii vita ya nini?

Katika nchi changa kama Tanzania tunatunishiana misuli kwa jambo ambalo ni la kujenga nchi

Nisahii Kujiona muhimu kuliko mwenzio kwa sasa kama wote mnalengo moja

LISU anapigania nn na MAGU anataka nn?

Mkuu wa nchi ni kweli hajui Lisu anataka nn? Kwa nchi yake nina maswali mengi wadau mnisaidie hoja hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Lisu anapigania
1. Kubadilisha sheria mbovu zote ambazo zinatoa mianya viongozi na wanasheria kuingiza Taifa kwenye hasara kubwa kwa kusaini mikataba mibovu

2. Mpaka sasa Magufuli
- Kazuia mabadiliko ya katiba....

-Hajaonesha anapiganaje vita bila nia ya dhati kubadilisha sheria mbovu kuzuia kuingia mikataba mibovu

Hapo tutaona nani mzalendo wa kweli

Nani anaigiza na hayuko sahihi wala hana dhati
 
Nimekaa na kutafari bila majibu hii vita ya nini?

Katika nchi changa kama Tanzania tunatunishiana misuli kwa jambo ambalo ni la kujenga nchi

Nisahii Kujiona muhimu kuliko mwenzio kwa sasa kama wote mnalengo moja

LISU anapigania nn na MAGU anataka nn?

Mkuu wa nchi ni kweli hajui Lisu anataka nn? Kwa nchi yake nina maswali mengi wadau mnisaidie hoja hii

Sent using Jamii Forums mobile app
magu msanii tu anataka utukufu wa kisiasa. mfano juzi anapokea ripoti ya bunge kabla ya kujadiliwa na wabunge ili kuficha au kuwakingia kifua watu wake.

lisu ni mzalendo mwana harakati mwanasheria anayepigania haki bin haki
 
Nimekaa na kutafari bila majibu hii vita ya nini?

Katika nchi changa kama Tanzania tunatunishiana misuli kwa jambo ambalo ni la kujenga nchi

Nisahii Kujiona muhimu kuliko mwenzio kwa sasa kama wote mnalengo moja

LISU anapigania nn na MAGU anataka nn?

Mkuu wa nchi ni kweli hajui Lisu anataka nn? Kwa nchi yake nina maswali mengi wadau mnisaidie hoja hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichopo hapo ni chuki za kijinga tu lakin ukitizama kwa muktadha mzuri kabisa ni kwamba anacho kipigamia mkuu na anacho kipigamia Lissu ni kile kile isipo kuwa tofauti yao ni namna ya uwasilishwaji kwamba
Mmoja na muono wa mbali sana na tahadhari kubwa sana
Na
Mwingine ana muono wa karibu sana na bila tahadhari yeyote sasa hawa watu wawili ni lazima hawata elewana hasa ukizingatia na maneno ya wapambe wenye ujinga mwingi kichwani.
 
Ni jambo la kushangaza kidogo hawa marafiki wa Lisu mpaka sasa hawajatoa pole yoyote kwa mtetezi wao mkubwa aliyepatwa na janga.

Lisu ndio alikuwa mtetezi wao mkubwa hivyo tunawasihi wamkumbuke mwenzao wakati wa shida na siyo kumtumia wakati wa furaha tu.

Bado hamjachelewa Miga na Acacia jitokezeni mmpe pole na kumchangia mtetezi wenu

Du!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kuna adui na mnafiki.

Lissu ndye adui ya ubepari wa wazungu maana hii vita hakuianza leo. Imeanza miaka 15 iliyopita. Alipigania sana hizi sheria za kibepari lakini kwa wingi wa wabunge na nguvu ya CCM alishindwa.

Huyu mwingine ni mnafiki mkubwa. Sababu alikuwakatika balaza la mawazir miaka 20. Hizi sheria zilipita mikononi mwake. Ila hatukumsikia akizipinga. Leo anajifanya ndye mzalendo na kumuita lissu adui wa Tanzania. Namashaka sana na Mungu wake.

‍♂️naenda zimbobo.
 
Nimekaa na kutafari bila majibu hii vita ya nini?

Katika nchi changa kama Tanzania tunatunishiana misuli kwa jambo ambalo ni la kujenga nchi

Nisahii Kujiona muhimu kuliko mwenzio kwa sasa kama wote mnalengo moja

LISU anapigania nn na MAGU anataka nn?

Mkuu wa nchi ni kweli hajui Lisu anataka nn? Kwa nchi yake nina maswali mengi wadau mnisaidie hoja hii

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu, kweli unaweza kulinganisha ndimu na embe?

kifupi, si rahisi kuweka kwenye mizania moja mtu anayetumia brain vs yule anayetumia mtulinga (muscles). ni vigumu kuwapima hawa!
 
Ni jambo la kushangaza kidogo hawa marafiki wa Lisu mpaka sasa hawajatoa pole yoyote kwa mtetezi wao mkubwa aliyepatwa na janga.

Lisu ndio alikuwa mtetezi wao mkubwa hivyo tunawasihi wamkumbuke mwenzao wakati wa shida na siyo kumtumia wakati wa furaha tu.

Bado hamjachelewa Miga na Acacia jitokezeni mmpe pole na kumchangia mtetezi wenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni dhahiri nyie ndiyo mliompiga risasi kwa dhana potofu kuwa alikuwa upande wa Acacia. Damu yake itawatesa sana na ndiyo itawatoa madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo la kushangaza kidogo hawa marafiki wa Lisu mpaka sasa hawajatoa pole yoyote kwa mtetezi wao mkubwa aliyepatwa na janga.

Lisu ndio alikuwa mtetezi wao mkubwa hivyo tunawasihi wamkumbuke mwenzao wakati wa shida na siyo kumtumia wakati wa furaha tu.

Bado hamjachelewa Miga na Acacia jitokezeni mmpe pole na kumchangia mtetezi wenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna wakati nasikitika kuwa na wenzangu watanzania wenye akili kama hiz. Yaan daaa. Eee Mwenyezi Mungu toa umbumbu huu wa watanzania
 
Kuna watu wana akili za kizamani sana. Tuko karne ya 21. We need to be very smart. Huwezi kuleta arguments za upepari, ukabaila na ujamaa katika karne hii. Dunia imeshakwenda mbele sana. Kila nchi inatumia mbinu za kisayansi zaidi katika kuboresha uchumi na ustawi wa watu wake. Hakuna nchi inakumbatia udikiteta, ujamaa, ubepari wala ukomunisti katika karne hii. Hizi ni sera za karne ya 14 - 18. Ukijaribu kutumia moja kati ya sera hizo leo utashindwa vibaya sana.
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom