Unaweza usiamini lakini huu ndiyo ukweli ni kwamba baada kama ya miaka miwili ya kufukuzwa ndani ya CHADEMA, sasa Zitto amepata fursa ya kupanda Chopa moja na wabunge wa CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuelezea kufukuza kwao bungeni. Katika ziara hiyo pia Ester Bulaya mbunge machachari aliyetoka CCM kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana atatema miale ya moto majukwaa mbali mbali nchini.
Kinachofanyika sasa ni kupanga ratiba na kuweka sawa vikosi vya ardhini kabla ya kunyanyua chopa zinazokadiriwa zitakuwa mbili. Pia inasubiriwa ratiba ya gwiji wa siasa nchini Lowassa kama ataungana na vijana hawa machachari.
Stay tuned!