Mpaka hapa hujajua? Umesoma mada? Unaweza muita mtu fulani MWIZI alafu ukaenda kuzindua kazi ya mwizi?Kuna uhusiano gani na acacia kujenga Kituo cha Afya?
Hiyo haibadilishi ukweli kwamba Lisu bado anachechemea na magongo huko Ubelgiji. Au vipi?Hizo kashfa bora uziache, Lissu anatembelea magongo sawa lakini mwanaCCM mwenzako Prof. Maji Marefu yupo kuzimu hivi tunavyoongea, uwe makini sana.
Hopeless argument from a hopeless mind.Lissu naona ameanza kupata nafuu, tunamuombea azidi kuendelea kupata nafuu.
Kuhusu hili la WM kufungua Hospitali, ni kujitafutia kiki za kisiasa, Acacia wamejenga hiyo hospitali kwa pesa Walizozipata kwenye Ardhi NA mali zetu, tutachukua chochote like chenye manufaa kwa wananchi wetu.
Hivyo Lissu anavyoona hawa wanyonyaji kweli wangejenga hospitali kama walikuwa hawa hawapati faida kubwa kwenye machimbo yetu.
Ama ndugu Lissu analipa fadhila ya Acacia kwa mchango wao mkubwa katika gharama za matibabu yake. NA huo ni uzalendo aina mpya kabisa
Makinikia yako wapi wewe masikini ? si mliahidiwa Noah nyinyi , halafu ikawaje ? ungekuwa karibu yangu ungekiona cha moto , Mnafiki mkubwa wee !
Kama laiti watu wangejua options walizo nazo Barrick, wangejihurumia na kujidharau. Barrick kwa kila walichofanya walilenga kulinda ustawi wa Kampuni. Sisi kila tulichofanya kililenga kupata sifa.Yaani Lissu anatamani ACCACIA wangegoma kufanya kila kitu. Ama wangeishitaki TZ yetu. Haa.. unaambiwa ndugu wakigombana chukua jembe ukalime.
Lissu anaamini tunaibiwa, sasa anashangaa hao wanaotuibiwa tubashirikiana nao
Tatizo uelewa wako mdogo,unashindwa kusoma btn lines!Mbwembwe za Kuwait's wezi zimeishia wapi?Noah zetu vp??Watupe pesa zetu kama mlivyotuaminisha!!!La sivyo Jiwe alitaka kiki tu,sasa wanashirikiana na walioutuibiajamani nyie watu mi siwaelewi nyie si ndo mlikuwa wakwanza kusema tutafungwa leo hii mnaendelea kusema ni wezi kweli masikni akipa makalio hulia mbwata. kila kitu ni maneno ndo maana mzee baba anakuwa mkali nilikuwa cjui
Kwa hiyo Tundu Lissu kahamia CCM?Ni kweli yako, lakini sasa wanalelewa NA kutetewa NA Chadema
Vp makontena imeishia wapi?Yako bado bandarini????Pia alishangaa Kwanini tunazuia Makontena ya Wezi bandarini akawa anatutisha tutashtakiwa
Nadhani Jiwe ni mgonjwa zaidi!Vyovyote vile upendavyo kuniita ila Ukweli upo pale pale Ukimjibu mgonjwa nikumuonea tu
Anaandika Tundu Lissu katika ukurasa wake wa Instagram:-
Naona Waziri Mkuu Majaliwa anazindua Kituo cha Afya kilichojengwa kwa ufadhili wa Acacia Mining Ltd. .
Mwaka jana tuliambiwa na Rais Magufuli kwamba Acacia walikuwa wezi, wanaendesha Migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi bila leseni, hawajasajiliwa na BRELA na wamekwepa kodi ya TAS trilioni 495, n.k. Leo Waziri Mkuu anafungua Kituo cha Afya kilichojengwa na Acacia. .
Nilisema bungeni mwaka jana kwamba Magufuli na watu wake wanatudanganya; kuwa Ripoti za Maprofesa Mruma na Osoro ni 'professorial rubbish', kwamba hawa wachimba dhahabu hawatatulipa chochote tunachoambiwa tunawadai. .
Leo nani anayeweza kusema hatukudanganywa na Magufuli. Badala ya trilioni 495 ni Kituo cha Afya. Na Magufuli atuambie makinikia yaliyokuwa yanashikiliwa bandarini kwa amri yake yako wapi na kama yamelipiwa ushuru aliosema tutalipwa!!!
495 Trillion zimelipwa? If yes ziko wapi,, if not zimefikia wapi process hizo..Huyu lissu na washabiki wake akili zao nadhani zipo kwenye makalio!! Kwani Acacia hawawezi kujirekebisha baada ya sekeseke lao na serikali? So lissu alitegemea baada ya acacia kuambiwa ni wezi basi wangerespond kwa kuleta vifaru kupigana na tz??!! Pumbavu kabisa!! Lisu badilika, fikiri nje ya box.
sasa kampuni isiyosajiliwa inatoaje mchango kwa jamii na huo mchango uwe halali mkuu? embu toa kaufafanuzi mwenzetu. pia lisu hayupo ICU . yupo wodi za kawaida anauguza vidondaHayo mambo yalishaongelewa, maongezi yalishafanyika na hata Boss wa Barrick alishakuja hapa Bongo tena zaidi ya mara moja, hivyo bado sioni uhusiano hapo, Acacia bado ni wawekezaji TZ, wameajiri Watz na huo ni mchango wao kwa jamii iliyowazunguka, sioni tatizo hapo la kumtoa mtu ICU kuwahi mitandaoni kuandika alivyoandika!
Nenda ukatibiwa kwenye hicho kituo cha afya kwanza.Kama laiti watu wangejua options walizo nazo Barrick, wangejihurumia na kujidharau. Barrick kwa kila walichofanya walilenga kulinda ustawi wa Kampuni. Sisi kila tulichofanya kililenga kupata sifa.
Kwa ufupi ni kuwa option ya Acacia kwenda mahakamani hawajaiondoa na hawataiondoa leo au kesho.