Lissu: Wanasheria watamfuata Kamanda Shilogile popote kwa mauaji Morogoro

Tawala nyingi zilizokuwa zinaelekea kaburini zilitumia kujihami kwa kuua raia wake,na hii ni dalili tosha kwa utawala wa ccm.
 
Kinacho nishangaza ccm wamesha sambaza propaganda kuwa chadema ni chama cha wakristo lakini polisiccm haohao kila siku wanaua wanachama wa chadema walioko kwenye maandamano ambao ambao niwa islamu!

Angalizo; sijasema wauwawe na wakristo! Hapana najaribu kuona jinsi ccm na polisi wanavyoua raia halafu baadae wanasingizia kuwa chama fulani nicha kidini! Silly leadership!
 
Dah .... morogoro imekuwa shujaa wakubwa sana .... sijui ccm imebakia eneo gani?

183503302.jpg

Huwezi kuamini vitisho vyote vile hali iishie kujaza uwanja kiasi hiki. Tukumbuke watu hawa damu inayomwagika plus maumivu ya kila siku katika maisha yao CCM kitanuka 2015.

Serikali, CCM na vyombo vya dola vinapokosa ubinadamu ambao ni jukumu lao dhidi ya wananchi hawa nini kinaendelea ndani ya mioyo ya wananchi hawa?

Historia ni mwalimu.
Vitisho havijawa silaha ya ushindi dhidi ya haki za raia,
hatima ni mbio za sakafuni kuishia ukingoni.
 
Nathan polisi waombe radhi na kuwachukulia hatua hao askar waliohusika, kwasababu zifuatazo..
  1. Uthibitisho mkubwa kuwa polisi wamechemka ni kumuua mtu aliyekuwa haandaman, alikuwa akisoma magezeti.
  2. Em polisi wajieleze vizur ni wakati gan wanapaswa kubeba na kutumia siraha za moto??? Mana waandamanaj hawakuwa na siraha na wala hawakuwa na jazba ya kuhatarisha usalama wa kitu chochote.
  3. Mh. Nchimbi amesema hawakupaswa kuandamana bali walipaswa kwenda kwenye mkutano tu coz ya zoezi la sensa linaloendelea, SWALI; Ni kwa vip watu wakiandamana barabaran zoez la sensa litaharibika na kwa vipi watu hao hao wakihudhuria mkutano zoez hilo litafanikiwa/ fanyika.
  4. Kama polis walijua hayo, kwanin walitoa kibali cha kuandamana na kufanya mkutano..??
 
Kinacho nishangaza ccm wamesha sambaza propaganda kuwa chadema ni chama cha wakristo lakini polisiccm haohao kila siku wanaua wanachama wa chadema walioko kwenye maandamano ambao ambao niwa islamu!

Angalizo; sijasema wauwawe na wakristo! Hapana najaribu kuona jinsi ccm na polisi wanavyoua raia halafu baadae wanasingizia kuwa chama fulani nicha kidini! Silly leadership!
waislamu walisha ikataa CDM siku nyingi. Hapa wala msitegemee kupata support ya waislamu.
 
Atakuwa anatenda haki kama atawahusisha pia na viongozi wa CDM walioshawishi watu waandamane.
 
Lissu anatafuta sifa tu,hawa wanafurahia raia akiuawa ndio wanapo patia nafasi ya kujijenga kisiasa. Alikua wapi wakati yule kijana wa CCM alieuawa singida kwenye mkutano wa CDM

Na yeye aliuwawa na polis au na wanaCCM wenzake waliotumwa kupandikiza fujo mkutanon??
Em fafanua zaid hiz sifa anazozitaka Lisu atazipaje katika hili?? Mbona huulizi wanaCCM walikuwa wapi wakati kijana wao anauwawa?? Au wao hawataki kujijenga kisiasa?? Kama aliyefiwa hasikitiki kwa kufiwa, wee mgen/jiran huzun ya pole utaitoa wapi..?? namaanisha ndo mana Lisu hakufuatilia kifo kile coz wanaCCM hawakuhuzunika..!
 
Nathan polisi waombe radhi na kuwachukulia hatua hao askar waliohusika, kwasababu zifuatazo..
  1. Uthibitisho mkubwa kuwa polisi wamechemka ni kumuua mtu aliyekuwa haandaman, alikuwa akisoma magezeti.
  2. Em polisi wajieleze vizur ni wakati gan wanapaswa kubeba na kutumia siraha za moto??? Mana waandamanaj hawakuwa na siraha na wala hawakuwa na jazba ya kuhatarisha usalama wa kitu chochote.
  3. Mh. Nchimbi amesema hawakupaswa kuandamana bali walipaswa kwenda kwenye mkutano tu coz ya zoezi la sensa linaloendelea, SWALI; Ni kwa vip watu wakiandamana barabaran zoez la sensa litaharibika na kwa vipi watu hao hao wakihudhuria mkutano zoez hilo litafanikiwa/ fanyika.
  4. Kama polis walijua hayo, kwanin walitoa kibali cha kuandamana na kufanya mkutano..??

moro%20mabomu.jpg
images
images

Tujiulize jambo la msingi kwamba watu hawa wako mjini, na kutembea makundi ni jambo la kawaida watu wa mjini. Hata watu waendapo kwenye matukio yanayowakutanisha wengi iwe harusi, misiba, kuabudu, burudani ni kawaida kuwa kimakundi na misafara hiyo huwa imejiandaa kwa hali na mazingira ya tukio.

Kinachoshangaza zaidi ni pale wananchi hao hawakuwa na silaha, wala kuokota mawe kuwarushia polisi silaha ya kawaida ambayo wananchi baadhi huwa wanafanya kujitetea au kujihamu kunapotokea mtafaruku kama huu polisi wanapowashambulia.

Tukio limesheheni sana dosari kubwa kwa uongozi wa polisi katika shughuli zao za kila siku, kwani walipoishiwa mabomu na risasi bado wananchi walikuwa watulivu na kuendelea na misafara yao kuhudhuria mkutano. Hoja yao haina msingi kabisa na pengine wanajishtaki zaidi kwa kuendelea kutoa visingizio.
 
Lissu anatafuta sifa tu,hawa wanafurahia raia akiuawa ndio wanapo patia nafasi ya kujijenga kisiasa. Alikua wapi wakati yule kijana wa CCM alieuawa singida kwenye mkutano wa CDM

aiseee babaangu we binti huwa nakupenda sana unafaa kuwa mama watoto wangu embu ni pm kwa mawasiliano
 
waislamu walisha ikataa CDM siku nyingi. Hapa wala msitegemee kupata support ya waislamu.

ponda aliwaambia waislamu wasihesabiwe, wamempuuza wamehesabiwa wooote! Msiwapandikizie ujinga waislamu, zamani mliwatishia nguruwe wakakimbia shule, habari za udini ukristo havina mashiko, wana mamawakwe wa kikristo kibao.
 
Kwani huu ni mkutano wa kwanza wa M4C, mbona kwingine hajapigwa mtu? Mbinu zenu za kuvuruga sensa zilisha julikana.
 
moro%20mabomu.jpg
images
images

Tujiulize jambo la msingi kwamba watu hawa wako mjini, na kutembea makundi ni jambo la kawaida watu wa mjini. Hata watu waendapo kwenye matukio yanayowakutanisha wengi iwe harusi, misiba, kuabudu, burudani ni kawaida kuwa kimakundi na misafara hiyo huwa imejiandaa kwa hali na mazingira ya tukio.

Kinachoshangaza zaidi ni pale wananchi hao hawakuwa na silaha, wala kuokota mawe kuwarushia polisi silaha ya kawaida ambayo wananchi wengi huwa wanafanya.

Tukio limesheheni sana dosari kubwa kwa uongozi wa polisi katika shughuli zao za kila siku, kwani walipoishiwa mabomu na risasi bado wananchi walikuwa watulivu na kuendelea na misafara yao kuhudhuria mkutano. Hoja yao haina msingi kabisa na pengine wanajishtaki zaidi kwa kuendelea kutoa visingizio.
Hiyo sentensi kwenye bold hapo, imeharibiwa na neno wengi, nadhan ungeweka neno Baadhi
Nadhan hata Nchimbi ana shida kwenye kichwa chake, hajaonyesha kusikitishwa na swala hilo, hiyo imedhihilisha kuwa polis wametumiwa na CCM kuharibu mikutano ya Chadema, sitegemei hao polis kuchukuliwa hatua na wala sitegemei hiyo tume aliyoiunda kuja na majibu sahih mana maneno yake ya leo yameshaharibu uchunguzi. Pamoja sana- CANDID
 
Shigholile+Andengenye=poliCCM.
Poli la Akiba Mabwepande.
CCM na Polisi wanamegeana Mapande!
images

Mtoto huyu katika umri huu anateseka na unyama wa polisi wa Tanzania, bahati msamaria mwema anamsaidia mtoto kuosha sumu ya mabomu usoni asiadhirike zaidi. Hakuna huruma bali ukatili mtupu.
 
Nathan polisi waombe radhi na kuwachukulia hatua hao askar waliohusika, kwasababu zifuatazo..
  1. Uthibitisho mkubwa kuwa polisi wamechemka ni kumuua mtu aliyekuwa haandaman, alikuwa akisoma magezeti.
  2. Em polisi wajieleze vizur ni wakati gan wanapaswa kubeba na kutumia siraha za moto??? Mana waandamanaj hawakuwa na siraha na wala hawakuwa na jazba ya kuhatarisha usalama wa kitu chochote.
  3. Mh. Nchimbi amesema hawakupaswa kuandamana bali walipaswa kwenda kwenye mkutano tu coz ya zoezi la sensa linaloendelea, SWALI; Ni kwa vip watu wakiandamana barabaran zoez la sensa litaharibika na kwa vipi watu hao hao wakihudhuria mkutano zoez hilo litafanikiwa/ fanyika.
  4. Kama polis walijua hayo, kwanin walitoa kibali cha kuandamana na kufanya mkutano..??

Nchi ina mambo ya ajabu sana hii,eti Emmanuel Nchimbi ni waziri wa wizara nyeti kama ya mambo ya ndani!no wonder Mwalimu katika miaka ile ya 199's alisingizia kigezo cha umri kumbe alishajionea mbali
 
images

Mtoto huyu katika umri huu anateseka na unyama wa polisi wa Tanzania, bahati msamaria mwema anamsaidia mtoto kuosha sumu ya mabomu usoni asiadhirike zaidi. Hakuna huruma bali ukatili mtupu.
Mimi nashuri mfanyie fujo zenu nje ya miji, mnatesa watu bure. Kila maadamano yenu lazima yafanyike sehemu watu wana shughuli zao.
 
Hiyo sentensi kwenye bold hapo, imeharibiwa na neno wengi, nadhan ungeweka neno Baadhi
Nadhan hata Nchimbi ana shida kwenye kichwa chake, hajaonyesha kusikitishwa na swala hilo, hiyo imedhihilisha kuwa polis wametumiwa na CCM kuharibu mikutano ya Chadema, sitegemei hao polis kuchukuliwa hatua na wala sitegemei hiyo tume aliyoiunda kuja na majibu sahih mana maneno yake ya leo yameshaharibu uchunguzi. Pamoja sana- CANDID

Asante sana Mkuu kunishtua, nimeshafanya masahihisho hayo mara uliponitahadharisha. Tuko pamoja.
 
Back
Top Bottom