Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Law Society TLS, Mhe.Tundu Lissu amesema, wanachama wamepitisha azimio la kumvua uanachama Waziri Mwakyembe na kuwa wanasubiria maamuzi ya viongozi.
Na katika ukurusa wake wa Twitter, Lissu ameandika ujumbe kuwa TLS imeshaanza mchakato wa kumuengua Mwakyembe.
===My take ==
Waziri Mwakyembe avuliwe ujumbe wa TLS. Haiwezekani aendelee kuwa mjumbe wa Taasisi ambayo anafikiria kuifuta haiwezekani lazima achukuliwe hatua iwe fundisho kwa wengine.