Lissu wako wapi wale watu uliosema utawaingiza barabarani?

Swali liweza jibiwa na swali! Kama unadhani Lissu alikuwa na "jeuri" hiyo,hata jamaa yako aliyeahidi alikuwa na jeuri. Ili ujue wako wapi tupe jibu pia ziko wapi???
Lissu alikuwa anaturingishia sana kuingiza watu barabarani, wapo wapi hao?
 
Jiwe alikuwa anajimwambafai sana kwa kuongea kwa kujiamini (kwa lafudhi yake ya ajabu ajabu) huku akibana pua: "sisi ni matajili,dona kantri,msema kweli ni mpenzi wa Mungu! Ziko wapi ahadi za milioni na kwa waalimu? Kilichomfanya asitimize ahadi hizo ndiyo zilizofanya usiwaone barabarani!
 
Kamanda, mada ni wapo wapi watu ambao lissu alituringishia kuingia barabarani?
 
Habari wanajf, poleni na pilikapilika za sikukuu hizi za mwisho wa mwaka.

Moja kwa moja niende kwenye jambo ambalo limenisukuma nije kuandika uzi humu.

Wote tunakumbuka kipindi cha kampeni mwaka huu kilivyopamba moto.

Kulikua na kila aina ya ngebe na majigambo kwa kila upande unaoshiriki kwenye uchaguzi.
JF kama ilivyo kawaida zikaibuka id's nyingi sana mpya.

Kubwa ni lile la Lissu kusema atawaingiza barabarani watu. Moja kwa moja wenye akili ndani ya chadema walisubiri huo muda ufike ili tuone kama ataweza.

Lissu kwa jeuri na mihemko ya hali ya juu alisema atawaingiza watu barabarani, na hili amekuwa akilisema mara kwa mara kwenye mikutano yake.

Wenye akili tulikuwa tunaendela kujiuliza pengine Lissu kuna watu anawafuga kama mifugo, hivyo akikohoa tu nao wanafata.

Siku ikafika, akaamuru watu waingie barabarani, ila bahati nzuri wabongo huwa ni wanafki(na mimi nikiwemo), huwa tunakusupport kwa kila aina ya maneno, linapokuja suala la vitendo huwa tunaanza kukusengenya.

Humu JF kabla ya kutangazwa watu kuingia barabarani, watu wengi walionekana kuhamasika na kupost kila aina ya ngebe wanazozijua, ila ilipofika siku ya tukio, wote waligeuka na kuanza kusema polisi wametumia nguvu sana ndio maana hatujatokea.

Unafki unakupa pale ambapo haohao wanaosema hawajaandamana sababu ya polisi ndio haohao waliosema polisi hawataweza kuzuia nguvu ya umma.

Na ni hawahawa waliosema Lowassa ana busara kwa kutotoa amri ya watu kuandamana kwa kuwa ingeleta maafa, na wakaenda mbali zaidi na kusema walikuwa wanasubiri Lowassa atoe tu tamko waingie barabarani.

Mungu si athumani, mwaka huu Lissu akatoa tamko, wote tunajua kilichotokea. Hawa ndio Wabongo.

Ni kweli, polisi wala jeshi hawawezi kuzuia nguvu ya umma, mifano ipo mingi sana. Hivyo ni dhahiri wale watu aliosema lissu kuwa atawaingiza barabarani HAWAPO.

Lissu ulishindwa vipi kujua kuwa huna nguvu ya kuamrisha watu kuingia barabarani?

Pole Lissu, umejifunza jambo. Ila kama bado hujajifunza ningependa kujua wale watu uliokuwa unaringia kuwaingiza barabarani WAPO WAPI??
Hivi huyu msanii bado yupo hapa duniani?
 
Kamanda, mada ni wapo wapi watu ambao lissu alituringishia kuingia barabarani?
Mada yahusu ahadi.Kuna ahadi 2 hapo,ya Lissu na ya JIWE. Upi utekelezaji wa hizo ahadi? Kama huoni uhusiano wa hayo basi tulia.What is good to the goose is good for the gander!
 
CDM wengi ni wanafiki,...siku ya kupiga kura wengi walipiga tiki kwenye nyundo na jembe....!! Ndo mana Lissu walimpotezea...!
 
Mada yahusu ahadi.Kuna ahadi 2 hapo,ya Lissu na ya JIWE. Upi utekelezaji wa hizo ahadi? Kama huoni uhusiano wa hayo basi tulia.What is good to the goose is good for the gander!
Wewe ni mmoja wa watu ambai lissu alikuwa anaturingishia atawaingiza barabarani?
 
Lisu alikuwa anatafuta gear ya kuondokea nchini na kwakweli amewaza kuisuka vizuri kajitengenezea mazingira kawadanganya wazungu wakaingia kichwa kichwa huyooo akasepa.

Then kuna watu wanataka kuwa na Rais wa sampuli yake kuishi kwenye uongo,uchochezi na kukimbia kivuli chake.
Kwani hamkutaka kumuua ?!. Hata tembo hapigwi risasi 38 !!
 
Kwa mtizamo wangu ni kuwa ilikuwa ni namna mojawapo wa kuhakikisha ya kuwa anawatetemesha wakubwa na kweli walitetemeka.Si hilo tu la kuingiza watu barabarani lakini matamko ya kila siku ya Bwana Amsterdam nayo yalisaidia angalau kampeni ikaenda ilivyokwenda.
Kwa Tanzania hii na hasa kwa awamu hii hakuna wa kuingia barabarani.Jaribu kuingia barabarani upate uzoefu ambao hutausahau maishani na kwa nini ufanye hivyo?Angalia tu jinsi askari vijana wanvyozishika bunduki,angalia FFU walivyo na uchu.Naamini vumbi likitulia Wapemba watatujuza kilichotokea huko!
Wakati mwingine tujifunze kuvumilia na kuacha asili ichukue mkondo wake.
Kwako asili ni kukubali dhulma !!. Kwanini uwaongoze watu bila ridhaa yao ?!
 
Habari wanajf, poleni na pilikapilika za sikukuu hizi za mwisho wa mwaka.

Moja kwa moja niende kwenye jambo ambalo limenisukuma nije kuandika uzi humu.

Wote tunakumbuka kipindi cha kampeni mwaka huu kilivyopamba moto.

Kulikua na kila aina ya ngebe na majigambo kwa kila upande unaoshiriki kwenye uchaguzi.
JF kama ilivyo kawaida zikaibuka id's nyingi sana mpya.

Kubwa ni lile la Lissu kusema atawaingiza barabarani watu. Moja kwa moja wenye akili ndani ya chadema walisubiri huo muda ufike ili tuone kama ataweza.

Lissu kwa jeuri na mihemko ya hali ya juu alisema atawaingiza watu barabarani, na hili amekuwa akilisema mara kwa mara kwenye mikutano yake.

Wenye akili tulikuwa tunaendela kujiuliza pengine Lissu kuna watu anawafuga kama mifugo, hivyo akikohoa tu nao wanafata.

Siku ikafika, akaamuru watu waingie barabarani, ila bahati nzuri wabongo huwa ni wanafki(na mimi nikiwemo), huwa tunakusupport kwa kila aina ya maneno, linapokuja suala la vitendo huwa tunaanza kukusengenya.

Humu JF kabla ya kutangazwa watu kuingia barabarani, watu wengi walionekana kuhamasika na kupost kila aina ya ngebe wanazozijua, ila ilipofika siku ya tukio, wote waligeuka na kuanza kusema polisi wametumia nguvu sana ndio maana hatujatokea.

Unafki unakupa pale ambapo haohao wanaosema hawajaandamana sababu ya polisi ndio haohao waliosema polisi hawataweza kuzuia nguvu ya umma.

Na ni hawahawa waliosema Lowassa ana busara kwa kutotoa amri ya watu kuandamana kwa kuwa ingeleta maafa, na wakaenda mbali zaidi na kusema walikuwa wanasubiri Lowassa atoe tu tamko waingie barabarani.

Mungu si athumani, mwaka huu Lissu akatoa tamko, wote tunajua kilichotokea. Hawa ndio Wabongo.

Ni kweli, polisi wala jeshi hawawezi kuzuia nguvu ya umma, mifano ipo mingi sana. Hivyo ni dhahiri wale watu aliosema lissu kuwa atawaingiza barabarani HAWAPO.

Lissu ulishindwa vipi kujua kuwa huna nguvu ya kuamrisha watu kuingia barabarani?

Pole Lissu, umejifunza jambo. Ila kama bado hujajifunza ningependa kujua wale watu uliokuwa unaringia kuwaingiza barabarani WAPO WAPI??
Tunasubiri kwa hamu kubwa BIMA YA AFYA bure kwa kila mtanzania...

Hii ndiyo hoja muhimu sana kwa sasa kama ilivyoahidiwa!!
 
Kuna ID moja inaitwa Sexless ilikuwa na moto wa hatari.. Inakwambia ilikuwa imeandaa dumu la petrol kwa ajili ya kuchoma ofisi za NEC😀😀.. Kwa kweli alie nyuma ya hii ID atakuwa bonge la msanii
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom