Lissu vs Magufuli uchukuzi wa fomu. Hii ndio siri ya Vyombo vya Habari kutishwa

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,323
Hii ni hatari.. wajumbe sio watu.

FB_IMG_1596890810080.jpeg
 
Ayo unazichanga karata zako vizuri kwelikweliii!!!

Bravooo...

Much likes.
 
Vyombo vya habari vipo kwa maslahi yao binafsi, taifa, na si kuifurahisha chadema

Hilo linafahamika, hapa tunaongelea mvuto kwa vyama hivyo kwa watazamaji. Toka awamu hii imeingia madarakani, vyombo vya habari vingi vimepoteza mvuto kutokana na hofu waliyonayo wanahabari, hadi kufikia kuandika habari zinazomfurahisha rais na chama chake tu. Matokeo yake watazamaji wamekinai kutazama vyombo hivyo vya habari, na hata kuangalia wanaangalia tu kwakuwa hawana mbadala.

Hii ndio imechangia watu wenye akili kupata habari zaidi kwenye mitandao ya kijamii, kwani kwa kiwango fulani kuna mawazo huru. Tatizo la msingi hapa ni kushurutisha kupendwa, huku wananchi wengi wakipenda vyama vingine kabisa.
 
Nimependa makamanda wa CHADEMA kutumia haki yao kama alivyosema Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi kukagua nyaraka kama zimetimia au la.

Hawa CCM Mpya siyo wa kuwaamini hata kidogo wamepenyeza makada wa CCM katika kila ofisi inayoshughulika na kusimamia, kupanga, kuratibu uchaguzi.

Mwendo uwe hivyo hivyo makamanda hakuna kwenda kiLazaro Nyalandu wala kiMayrose Majige.

Hawa CCM lazima kwenda nao ikilazimika kutumia mzani kwa mzani kisheria ( Hoja ya Lema je Tume inawatumikia wote kwa usawa kama wanavyofanya kwa CCM, hoja kwa hoja, hadi kieleweke mbivu au mbichi.
 
Kila siku mnatangaza kuvisusia na kila siku mnang'ang'ania kuviangalia.

Kwani watu wanaangalia kwakuwa wanavipenda au ni hawana mbadala? Ukiongea na wenye vyombo vya habari, kwa hofu kubwa wanakiri kabisa kuwa wanawekewa vitisho kuwa wasitangaze wapinzani, bali wamtangaze jiwe na chama chake. Hizi ni tabia za kawaida kabisa katika nchi za kidictator.
 
Vyombo vya habari, havijatekwa na ccm, bali vinaona kazi nzuri zinazofanywa na ccm, sio porojo za visasi vya chizi

Chombo gani cha habari kinataka kutangaza habari zisizo na walaji? Nchi za kidictator vyombo vyote vya habari hushurutishwa kuwapamba madictator.
 
Kwani watu wanaangalia kwakuwa wanavipenda au ni hawana mbadala? Ukiongea na wenye vyombo vya habari, kwa hofu kubwa wanakiri kabisa kuwa wanawekewa vitisho kuwa wasitangaze wapinzani, bali wamtangaze jiwe na chama chake. Hizi ni tabia za kawaida kabisa katika nchi za kidictator.
Chadema chama kubwa. Vipi mshindwe kuwa na TV station yenu na mng'ang'anie za wenzenu?
 
Aliyetoa huu uzi hakika ni kubavu kubavu kubavu kubavu........hii picha ya kwanza inasema lissu alipokuwa anachukua fomu ya kuwania uraisi.......na hii ya pili ccm vitiaalumu watia nia.......hata kubalance story ujui ?? Ungeweka ya Magufuli ndio ipimane na hii ya lissu mbona mkubavu wewe au lissu alikutoaga linda box tuambie.............??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mizani lazima iwe sawa,
Tukio la kikao cha uvccm kilinganishwe na tukio la kikao cha Bavicha.
Tukio la lissu kuchukua form ya uraisi lilinganishwe na tukio la magu kuchukua form ya uraisi
Lissu kaangaliwa live na watu 1.5k(1500)
Magu kaangaliwa live na watu 38k(38000)
IMG_20200808_163425.jpg
 
Back
Top Bottom