GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,155
- 3,399
CHADEMA walipanga kufanya matukio makubwa sana ndani ya mwezi huu wa saba.
i/ Ujio wa Tundu Lissu siku ya Jumatatu(27/07/2020) kama sijakosea siku.
ii/ Mkutano mkuu wa CHADEMA wa tarehe 29/07/2020 kama sijakosea siku ili kumchagua mgombea wa urais atakaye chuana na Magufuli.
Sasa hili matukio haya yalete maana iliyokusudiwa na CHADEMA basi ni bora yote yahailishwe ili kupisha kwanza msiba uishe.
Please Lissu usirudi kwanza mpaka msiba uishe ili nchi iwe imetulia ndiyo urudi.