Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 644
- 1,482
Approach anayotumia Lissu kupingana na serikali kuelekea 2020 inamjengea taswira ya Usaliti kwa Taifa. Serikali yoyote duniani haiwezi kukubali mpinzani wa aina hii.
Hata Zitto ndani ya Chadema alishughulikiwa kwa hoja kuwa anashirikiana na maccm na kumchafua mwenyekiti ili apate uenyekiti wa Chama chake. Lissu akaja na misamiati ya Msaliti na Mhaini. Leo naona na yeye anatembea mle mle dhidi ya Taifa lake na Chama chake.
Namkumbusha Lissu tena Wazungu wana maslahi makubwa na Magufuli kuliko yeye hivyo anachofanya ni usaliti kwa serikali yake na Taifa lake na ni hatari kwake.
Pia akumbuke watu waliofuata approach yake walipoishia. Huwezi kupingana na serikali ya nchi yako kwa kuvaa uhusika wa Usaliti unakuwa kama sisimizi tu.
Baada ya muda mfupi Lissu utabaki peke yako. Badala ya ushawishi na mobilization wewe unataka kutangulia tukufuate nyuma. Yesu pamoja na miujiza yake watu walimkimbia hadi wanafunzi wake mpaka Petro aliyemuahidi watakufa wote.
Yesu huyo huyo aliwaambia waliojitoa mhanga kumfuata na kumlilia kuwa wasimlilie yeye bali wajililie wao na watoto wao. Watanzania wengi wanaishi kwa kufuata ushauri huu wa Yesu.
Lisu jitahidi kuwa na kuonekana mpinzani sio Msaliti wa nchi. Mataifa ya Magharibi yanaangalia maslahi yao. Ndio maana Saudia Wanatuhumiwa kumuua mwandishi wa habari ubalozini lakini wazungu wote kimya.
Kenya hapo aliuawa kiongozi wa tume ya uchaguzi wakati wa uchaguzi kimyaaaa mpaka leo. Kagame na Museveni wanatuhumiwa mengi lakini wazungu wako kimyaaa.
Watanzania ndio nguvu na silaha yako wakikuelewa kuliko hao wazungu.
Msaliti adhabu yake ipo Lissu na wewe mwenyewe pamoja na Lema unaijua na mlikuwa mnamshinikiza Mbowe kuitumia kwa Zitto mara nyingi hata kwa Dr. Slaa. Adhabu ya Msaliti duniani kote ni ile ile haijawahi kubadilika Mimi naogopa na kukuhurumia.
Mimi naona Lissu analipizwa kwa siasa zake za ubaya. Kwa maoni yangu Lissu aliwafanyia ubaya mkubwa sana wa kisiasa Zitto na na Dr. Slaa leo na yeye yuko kwenye wakati kama wao.Atubu kwanza. Unalalamika kuonewa huku jamii inaaminishwa wewe ni Msaliti. Inauma sana.
Muda utatuambia na kutuonyesha mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app