Lissu. Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako?

Masi Lambo

JF-Expert Member
Apr 8, 2020
532
360
Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako?

Acha kutufanya wajinga, hufai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji na uongo wako kutufanya wajinga.

Wadanganye mafala sio wote, you can fool some people sometimes not all never all the time
 
.
IMG_20200606_191701.jpeg
 
Kisheria Lissu hawezi kugombea Urais akiwa nje ya nchi yake. Anapaswa kurudi nchini na kufata taratibu za uchaguzi ikiwemo kampeni na mambo mengine ya kikatiba.
 
Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako?

Acha kutufanya wajinga, hufai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji na uongo wako kutufanya wajinga.

Wadanganye mafala sio wote, you can fool some people sometimes not all never all the time

Hao walioko bungeni wanawawakilisha wananchi gani? Kuna mwananchi Kamtuma mbunge akapitishe sheria ya viongozi kutoshitakiwa kwa kufanya makosa? Kwa taarifa yako, kwa utendaji kazi wa bunge letu unaweza kuwawakilisha hao wananchi bila kuhudhuria hata siku moja. Sospeter Muhongo yuko bungeni? Mkono yuko bungeni,?

Ni kipi wananachi wao wanakosa kulinganisha na hao wala posho walioko bungeni? Hilo bunge sio sehemu ya kuwawakilisha wananchi, bali ni genge la kulia pesa za wananchi kisheria. Lissu hayuko hapa nchini kutokana na siasa chafu zinazoendelea.
 
Hao walioko bungeni wanawawakilisha wananchi gani? Kuna mwananchi Kamtuma mbunge akapitishe sheria ya viongozi kutoshitakiwa kwa kufanya makosa? Kwa taarifa yako, kwa utendaji kazi wa bunge letu unaweza kuwawakilisha hao wananchi bila kuhudhuria hata siku moja. Sospeter Muhongo yuko bungeni? Mkono yuko bungeni,? Ni kipi wananachi wao wanakosa kulinganisha na hao wala posho walioko bungeni? Hilo bunge sio sehemu ya kuwawakilisha wananchi, bali ni genge la kulia pesa za wananchi kisheria. Lissu hayuko hapa nchini kutokana na siasa chafu zinazoendelea.
Inakuhitaji kujifunza kazi za wabunge na majukumu yao.
 
Lisu ni kwa wanalumumba ni kama ile verse ya chid, "wanadiss ila wanakubali kiaina "
 
Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako?

Acha kutufanya wajinga, hufai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji na uongo wako kutufanya wajinga.

Wadanganye mafala sio wote, you can fool some people sometimes not all never all the time
Vipi Nimrod Mkono naye?
 
Inakuhitaji kujifunza kazi za wabunge na majukumu yao.

Kazi za wabunge nazijua vizuri, labda wewe ndio ukajifunze. Nimekwambia Mkono na Muhongo hawapo bungeni, je ni kipi majimbo yao wanakosa kulinganisha na hao wanaokula posho kila siku?

Umeleta bandiko la propaganda mfu, saa hizi huna hoja unaishia kunitajia formalities za wabunge, na sio uhalisia wa ulichofungulia uzi. Rudi darasani ukijifunze propaganda, kizazi hiki sio cha propaganda za kizee.
 
Kazi za wabunge nazijua vizuri, labda wewe ndio ukajifunze. Nimekwambia Mkono na Muhongo hawapo bungeni, je ni kipi majimbo yao wanakosa kulinganisha na hao wanaokula posho kila siku? Umeleta bandiko la propaganda mfu, saa hizi huna hoja unaishia kunitajia formalities za wabunge, na sio uhalisia wa ulichofungulia uzi. Rudi darasani ukijifunze propaganda, kizazi hiki sio cha propaganda za kizee.
Wewe hujui chochote kama unafikiri wabunge kazi yao ni kula posho, wala husikilizi bunge kujua wanacho jadili, upo kuletya porojo na ubishi usio na msingi.
 
Chadema wako makini sana hawawezi kumsimamisha Tundu Lisu agombee uraisi kwanza lisu hana sifa za kuwa raisi
 
Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako?

Acha kutufanya wajinga, hufai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji na uongo wako kutufanya wajinga.

Wadanganye mafala sio wote, you can fool some people sometimes not all never all the time
Nimrod Mkono yupo wapi? Acha upimbi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom