Lissu. Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako?

Nilijua huna ujualo zaidi ya kupiga propaganda mfu hapa jukwaani. So ulifikiri tunamtaja huyo Mkono kwakuwa ni baba, mjomba au mchepuko wako? Kwa taarifa yako ana miaka minne hayupo bungeni yuko kitandani, kama ni lazima kuwepo bungeni physically ili kuwawakilisha wananchi, basi wananchi wa jimbo lake walipaswa waathirike. Hata hivyo hilo bandiko lako lilijikita kwenye kutokuwepo physically kwa Kiasi, na sio kutokuwepo kwa kutofuata sheria. Inaonekana hujui unaoongea nini, ndio maana unaishia kuongea upuuzi tu hapa.
Kwa hiyo anaumwa, hivyo wewe ndiyo mpuuzi usiyejua sheria za kazi, kama Lissu alivyofikiri kutangaza mitandaoni mahali alipo, ni kutaarifu bunge anaumwa. Lissu ni mpuuzi ka wewe, hana mpango, kuna wenye sifa za urais kama Msigwa hata Mbowe, Lissu ni rais wa mafala na watoto wajinga wanao watukuza wazungu, wajinga wasiojua sheria za kazi.
 
Kaa kimya we kilaza as you know nothing. Unaanzisha uzi wala huna details za kile unachoanzishia uzi! Saa hii hata hujui kwenye uzi wako wa msingi ulikuwa unasimamia nini, finally unaishia kurukia rukia kila hoja ili kuleta ubishani wa kiduwanzi.
 
Hao walioko bungeni wanawawakilisha wananchi gani? Kuna mwananchi Kamtuma mbunge akapitishe sheria ya viongozi kutoshitakiwa kwa kufanya makosa? Kwa taarifa yako, kwa utendaji kazi wa bunge letu unaweza kuwawakilisha hao wananchi bila kuhudhuria hata siku moja. Sospeter Muhongo yuko bungeni? Mkono yuko bungeni,? Ni kipi wananachi wao wanakosa kulinganisha na hao wala posho walioko bungeni? Hilo bunge sio sehemu ya kuwawakilisha wananchi, bali ni genge la kulia pesa za wananchi kisheria. Lissu hayuko hapa nchini kutokana na siasa chafu zinazoendelea.
Kama unamke au mume basi niwape pole Mana una GUBU si la nchi hii halafu hujengi hoja unafyatuka tu!
 
Kama unamke au mume basi niwape pole Mana una GUBU si la nchi hii halafu hujengi hoja unafyatuka tu!

Acha kupanic mpaka unaishia kutokuweka koma au nukta kwenye sentensi zako. Hoja zangu sina shaka nazo, labda uniambie kuwa umekuja na marking scheme.
 
Kaa kimya we kilaza as you know nothing. Unaanzisha uzi wala huna details za kile unachoanzishia uzi! Saa hii hata hujui kwenye uzi wako wa msingi ulikuwa unasimamia nini, finally unaishia kurukia rukia kila hoja ili kuleta ubishani wa kiduwanzi.
Huna cha kusema umebaki kuongea pumba, wala hujui maana ya mbunge.
 
Back
Top Bottom