realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,982
Hili ni ombi maalum kwa Raisi wa TLS.
Leo tumeshuhidia mambo kadhaa
1.TAMKO LA WAZIRI WA HABARI
2.TAMKO LA M/KITI WA MOAT
3.TAMKO LA RAISI
Tamko la raisi,limeoneka kutangulia maagizo ya waziri wa habari na kiongozi wa MOAT.
Kutokana hali hiyo basi,tunamuomba mh. Lissu atamke kutueleza nini kinafuata kwa sasa.
ASANTENI.