Lissu: Sijawahi kusikia mtu anayeitwa Hosea Mirambo jimboni kwangu na sidhani kama yupo

Ila based on comments za watu humu nimeona watu wanashindwa kutofautisha kati ya flyover na bridge.
Kwa pale Tazara kulikua na haja ya kuwa na flyover, ila nachodhani, tatizo imegeuzwa kuifanya flyover kuwa ajenda kubwa ya kitaifa na ya kisiasa sana. Which to me is WRONG. We need to change kwa kweli kama taifa. Safari yetu ni ndefu sana.
 
Back
Top Bottom