mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,064
- 6,733
Tundu Lissu ulipata umaarufu na kuaminika sana sababu ya nia, uthubuti na uzalendo uliokuwa unajaribu kuuonyesha na si kwa sababu wewe ndiye mwanasheria nguli Tz. Sote tunafahamu kuna wanasheria wengi sana Tz wenye uwezo mkubwa sana zaidi Tundu Lissu ila hawakuwa na uthubuti wa kutetea chetu.
Tundu Lissu kama na wewe huna nia njema tena na mali zetu ujue huna tena cha ziada cha kukuweka juu, unatumia nguvu nyingi sana kujaribu kukatisha tamaa juhudi zinazoendelea kwa ajili ya maslahi ya kisiasa ya chama chako, nia yako hasa ni nini? Kwa nini ulikuwa unatafuta data kutoka kwa Mwanyika ili uwatetee Acacia?
Kuwa makini sana, Zitto anapuuzwa siku hizi na wewe muda si mrefu utaingia huko huko plus 2020 si mbali, wewe mwenyewe wajue umeshinda kwa margin ndogo sana, jirekebishe vingenevyo wananchi watakufunza.