Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Neno la mwisho ndo mpango mzima wa ccm
Wapinzani hawaogopi uchaguzi wanahofia usalama wa wapiga kura, kama siku ya kuchukua form tu,watendaji walifunga ofisi wakakimbia wapinzani wasichukue form, siku ya uchaguzi kama hawatafunga milango ya vituo vya kupigia kura wananchi watakapo wakataa na kuwachagua wapinzani kitakachowapata kinaweza kikawa ni kile kilichompata dada Akwilina.