Lissu: Serikali ya Magufuli wanahusika na jaribio la mauaji dhidi yangu. Sooner or later, ukweli utajulikana

Endelea kumulilia Mungu kama unadhani yupo kwa ajili yako na Lissu pekee.
Hii ni dunia ya logic. Kama huwezi leta maneno yenye logic, utaendelea kulia na kutaja damu siku nzima. Umekuwa babu wa nchi kwamba unaweza laani wote usiowataka? lame duck!
Msamaha upo kwa wanaotambua kuwa ni wadhambi, wanajutia dhambi zao na kuomba toba, sio kwa wanafiki, majivuno na kiburi kinachotokana na kulewa madaraka, na kutumia madaraka yao kukandamiza wengine. Ni hao hao wanaotumia madaraka yao kukulipa na wewe kwa njaa zako unakubali kutumika kuwakejeli walioumizwa na uovu. Eti logic! Hata fallacy ni logic pia. Pathetic...
 
Mmh.......

Hizi tuhuma ni nzito, zinapaswa kujibiwa

Ukiona kimya kizito, basi ujue hiyo ni guilty consciousness
 
Msamaha upo kwa wanaotambua kuwa ni wadhambi, wanajutia dhambi zao na kuomba toba, sio kwa wanafiki, majivuno na kiburi kinachotokana na kulewa madaraka, na kutumia madaraka yao kukandamiza wengine. Ni hao hao wanaotumia madaraka yao kukulipa na wewe kwa njaa zako unakubali kutumika kuwakejeli walioumizwa na uovu. Eti logic! Hata fallacy ni logic pia. Pathetic...
How can fallacy be logic! Hiyo ni elimu ya kiwango gani? Kama unaishi bila kujua ni dunia ya wote: Wabakaji, wezi, wema, washenzi, mbumbumbu kama wewe, wajanja, etc. utapata taabu bure! Ishi Duniani, usitake kushi Mbinguni na kuanza kutaja Mungu mara damu, mara laana, utaishia kudhalilika. Be cautious emperometrically!
 
Mtadhihaki sana lakini everything is already in motion.

Msipotubu, mtakinywea kikombe hicho hicho cha muuaji mnayemtetea japokuwa yawezekana hamkushika bunduki.
Wolf cry! Ulimboka alipong'olewa kucha, Kubenea alipomwagiwa tindikali, Mwangozi alipopigwa bomu, Mauaji ya kibiti, n.k. Ulishawalilia watu hawa? Laana yako ilimpata nani? Ulipata nafuu kwa kusambaza laana? Any toilet paper coupon?
 
Nasema sitaweza kusapoti unyama aliotendewa binadamu mwezangu kwa sababu za itikadi ya chama cha siasa, dini n.k. Kuuwa imekatazwa hata kwenye amri kumi za mungu
Ule ni unyama mkubwa sana kuwahi kupangwa na kufeli. Matukio kama haya tulizoea kusikia nchi za wenzetu na si hapa nchini. Sitaki kuamini Tanzania tumeingia katika Siasa za namna hii, mara waandishi Wa habari kupotea, watu kutekwa na watu kuuwawa na kuhusishwa moja kwa moja kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.
Mh. Lissu Mungu akupe afya njema na ujasiri uliotukuka uje uyaseme yoote. Kupona kwako hakika ni mpango Wa Mungu na naimani kuna jambo kubwa Mungu anataka ulifanye.
Siasa, udini usitufikishe huku tulipofikia, kumbukeni watanzania wrote ni ndugu, tusiisahau misingi tuliyojengewa nayo.
 
How can fallacy be logic! Hiyo ni elimu ya kiwango gani? Kama unaishi bila kujua ni dunia ya wote: Wabakaji, wezi, wema, washenzi, mbumbumbu kama wewe, wajanja, etc. utapata taabu bure! Ishi Duniani, usitake kushi Mbinguni na kuanza kutaja Mungu mara damu, mara laana, utaishia kudhalilika. Be cautious emperometrically!
Hujui kuwa fallacy ni logic? Hata hivyo nimefunga dirisha la ku argue na robots!
 
ila lissu akirudi huku watamtafuta wammalizie kabisa yan nasema hivi watamuua kabisa huyu bora abaki huko huko tu sina imana tena kama walishindwa kummaliza kipind kile akija watahakikisha anakufa ndo wamuachie!! hofu imenijaa ,, nadhan tundulisu bora abaki huko tu milele
 
Huyu jamaa anajiandaa kuzamia Ulaya kwa kisingizio cha usalama
Mkuu hebu tuwe na huruma kidogo,imagine na wewe au ndugu yako wa karibu kafanyiwa alichofanyiwa Lissu!?.
Unadhan kutafuta kuishi ulaya ni kisingizio kweli kwa Lissu?. Mi sinaga ushabiki wa vyama lkn kwa aliyofanyiwa Lissu tujaribu kujivika uhusika ndipo tuchangie maana hakuna sababu ya kuhalalisha uhuni na unyama alofanyiwa Lissu
 
Aliyataka tabia yakula pesa za wateja wake alafu wafungwe ndio kinamtesa
 
Wewe Lissu endelea tu kuweweseka. Ukweli kuwa serikali ya Magufuli haihusiki unaujua ila kwa vile una lengo jingine endelea tu Lakini Mungu anakuona na tegemea mapigo zaidi kutoka kwa Muumba japo najua humuamini ndio maana kanisani msikitini hufiki labda uende ukirudi.
 
Back
Top Bottom