Lissu: Serikali ya Magufuli wanahusika na jaribio la mauaji dhidi yangu. Sooner or later, ukweli utajulikana

Panapofuka moshi pana moto.
Hiyo ni pandora box iko lose unategemea nini, wacha dunia ijue ukweli halisi!!
Naogopa huyo Bwn asije kizimwa tena tumuombee ulinzi wa Bwn umfunike!!
 
Back
Top Bottom