Lissu: Serikali hii (ya Magufuli) ni ya hovyo, huyu dikteta uchwara anahitaji kupingwa na kila mwananchi

Magufuli anaiharibu Tanzania yetu kwa kupandikiza chuki za kutisha miongoni mwa jamii ya Watanzania.
Wewe ndiye mwenye chuki sisi huku wote tunaishi kwa Upendo bila kujali huyu ni wa chama gani.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
TL kaja na hoja Nzuri sana kwa juujuu lakini kiundani yake ni siasa tu na dhana yake/Yao ya Upinzani kama Sio upingaji Ndio anawasilisha Hapo...Hoja zake mbili tu zimenifanya nipate Mashaka na kile anachotaka umma wa waTZ usikie, utambue na mwisho uamin!! Mosi kasema JPM anaiingilia Bajeti na kuvuruga Mipango ya Pesa, Pili akasema JPM anaonyesha upendeleo wa waziwazi hasa kikanda na kikabila...Hv Teuzi zote za JPM ni kanda ya ziwa!!? Au ni wasukuma!!?? kama anavyolazimisha tufikiri na kuamin hivyo!?? Matumizi ya Pesa na bajeti Pengine angesema hasara ya hayo matumizi kidogo angenishawishi hoja yake kuwa na mashiko...Upanuzi wa Barabara Mwenge-Morocco-Dar Ghana area-Airport-Mwanza Hostel-UDSM Nyumba za Askari magereza-Ukonga Na Pesa za MAENDELEO Mahakama Kwahiyo alitaka visubiri budget yetu ambayo hata huwa haitekelezeki angalau 60%.......

TL Huwa haeleweki....Ningemuomba ajifunze vitu toka Kwa ZZK aje na Upinzani wa kisasa na sio huo alionao wa karne ya 19....

KIMEO CHANGU
Unaonaje tusiwe tunatumia pesa nyingi kupanga bajeti bungeni,akabaki JPM anafanya yale unayoona yanafaa..,na pia akaendelea kuteua asilimia kubwa kanda ya ziwa,halafu kwingine anateua hata asilimia moja,huoni itakua vema,ndugu..?
Huwa sipendi sana kubishana na watu wasio na akili timamu.. Unataka kubisha nini?
 
Unaonaje tusiwe tunatumia pesa nyingi kupanga bajeti bungeni,akabaki JPM anafanya yale unayoona yanafaa..,na pia akaendelea kuteua asilimia kubwa kanda ya ziwa,halafu kwingine anateua hata asilimia moja,huoni itakua vema,ndugu..?
Samahan Mkuu ww n USERNANE yako Kweli!!!

KIMEO CHANGU
 
With due respect Sijawahi muelewa huyu mtu. Wakati wa JK alimponda kama dhaifu. Anakuja JPM ambaye ni tough anamuita dikteta uchwara. Hivi huyu jamaa anataka nini au anapenda yeye atawale?
Kwahiyo baada yakuondoka JK,yeyote angekuja nakuanza kuwaburuza waponzani nakujiamulia chochote akionacho kinafaa,anatakiwa asifiwe sindio..?
 
Sio kweli mkuu.
Tangu chama kinunuliwe na MAFISADI hakuna mwenye akili timamu anayeweza kukiamini.
Nakumbuka Mbeya enzi zile chama kina NGUVU YA UMMA wananchi walipambana hadi JW waliitwa ikashindikana ndipo mkuu wa mkoa enzi zile Kandoro akashauriwa kuwa vita ile anayeweza kuimaliza ni Mh SUGU na wala sio police wala JW.
Muulize SUGU (enzi hizo anaitwa RAIS wa MBEYA) na uwanja wa Ruanda ukiitwa uwanja wa DR SLAA
Hiki chama tangu kinajisiwe kimepoteza nguvu ya UMMA.
Hivi sasa hakina mwelekeo na hakijulikani kinamtetea nani (Ah sorry! kinamtetea Maalim Seif, ACACIA, IPTL na MANJI, Wezi wa madini, Singasinga, Rugemalila na NAPE)
Wewe mwenye wazimu ndio unaeweza kuamini ccm.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Samahan Mkuu ww n USERNANE yako Kweli!!!

KIMEO CHANGU
Ni yangu ndiyomaana nimekuuliza unipe majibu,halafu username has got nothing to do with the topic,kikubwa tujadili kilichopo hapa kwenye forum.
 
Hivi ni kweli mkulu (M/kiti wenu wa chama cha Makanikia CCM) hajuwi kiingereza cha Kuongea?
Awe anajua au hajui lkn ndiye rais wako, wewe unayejua utaendelea kuwa chini yake kwa miaka yake yote kumi ya uongozi wake sure, akimua lolote lazima ufuate haijalishi unataka au hutaki
 
Lissu mjanja sana, hii ni tactic ya kumkasirisha bwana yule. kadiri anapokasirika ndipo anapotumia nguvu kubwa za dola kumthibiti. Mwishowe bwana yule anajikuta akimpaisha lissu kwenye media.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ni yangu ndiyomaana nimekuuliza unipe majibu,halafu username has got nothing to do with the topic,kikubwa tujadili kilichopo hapa kwenye forum.
Mkuu kwanza Hebu nikueleze tu!! JPM Pesa anayotumia katika miradi Flan ambayo baadhi nimeitaja Hakuleti hasara wala hakupunguzi wala kuzuia utekelezaji wa Bajeti yetu!! Sizan na sina uhakika kama hizo Pesa Huwa anamega toka wizara Flani Lkn hata km tukisema Hizo Pesa aongezee kwenye bajeti ya Wizara flan km sio husika Hicho kilichotokea katika matumiz yake sahv ndicho hicho hicho kitakachotokea tena Pengine hata kisingetekelezeka Lkn Hebu Naomba unisaidie Uteuzi wa nyadhifa za Juu kabisa Alizofanya JPM ambazo unaona kagusa upendeleo na sifa hawana kuwa pale!!! ili angalau unishawishi Mkuu wangu ....

Uliyoyaeleza hapo hayahalalishi anachokifanya JPM kua halali,nyadhifa nyingi tu ambazo JPM kateua viongozi wake ni za kanda ya ziwa,mfano CDF,katibu mkuu wizara ya fedha,IGP,wakuu wa mikoa,wilaya n.k.
Kuhusu sifa zao mi sitaki kujua,but wengine hawana...?
Kwenye matumizi ya pesa bila moangilio,hatakama ingekua ni bilioni 8,utaratibu inabidi ufuatwe.
 
Back
Top Bottom