Lissu: Serikali hii (ya Magufuli) ni ya hovyo, huyu dikteta uchwara anahitaji kupingwa na kila mwananchi

Lisu asante umetusemea ya moyoni,,haujui tu jinsi gani unatufariji,,,Li mtu linajifanya kama Mungu mtu asiambiwe katukanwa. Wewe dikteta uchwara mwisho wako utakuwa mbaya sana una machozi mengi yanakulilia wanafunzi 7000 wa udom wanakulilia,,waajiriwa mliowaajiri mei juzi mmewasimamisha bila sababu wanakulilia,,wana demokrasia tunakulilia
 
cyber crime inakuita wewe
 
Hata kama maarufu bado haitoshi mtu hujiongezea umaarufu anaposokwa lumande
Lisu mwanasiasa maarufu anatafuta kujiongezea
 
Ha ha ha ha watu wa chadema hawaaminiki, tusiwaamini, walitumbia serikali iliopita dhaifu, Leo wanadai ile bora
hahahaha kabisa Mkuu! vilevile walimtangaza nchi nzima muheshimiwa Fulani kwa miaka mingi kuwa ni fisadi, na kuwambia watu kauli nyingi tuu kuhusu huyooo jamaa baadaewakaja kumsafisha kuwa mtu safiii na kumpaa ugombea urais bila kufuata taratibu halali za vikao vya chama chao, hawa jamaa ni vigeugeu kweli!!!
 
Iniite tu uzuri milioni saba ninayo,,una lengine
Kutokana na kutudhihirishia unatukana kwa kuwa million saba unayo basi huenda mahakama ikakuhumu kwenda jela miaka mitatu na ukitoka ndio ulipe milion saba kwa kuwa umetenda kosa kwa makusudi na jeuri
 
Jamaa ameongea hayo maneno hadharani wakati mimi hata nyuma ya keyboard naogopa.
Hatari sana!
A normal person cannot utter such words in public especially after what happened to that guy in Arusha. He could have had some immunity if he spoke those words in parliament but at Kisutu of all places? It is not sanity!!
 
Tundu Lissu umevuka mstari mwekundu. Huwezi kumdhihaki Rais kwa kiwango hiki. Unajua maana ya dikteta uchwara? Unamuita Rais uchwara tena kwa sentesi ya kijanja-janja za kisheria? Lissu unatakiwa kupumzishwa siasa. Naamini JPM hatocheka na wewe ktk hili. Ondoka nchini.
 
Back
Top Bottom