4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 5,978
- 6,782
Ccm hamuishi vituko, nyie si ndo mnataka Mbowe, mpaka mwamtungia kesi ya ajabu, Sasa kaeni nae Cha msingi awe salama ,Ndugu zangu,
Ama kweli "kikulachi ki nguoni mwako" japo wanazungumza kama wanesusa lakini wana ajenda kubwa dhidi ya Mbowe.
Ukitafakari kwa makini kauli yao "Chadema haotomdhamini Mbowe" kuna kitu utagundua naam wamemchoka, hawataki atoke korokoroni, wanatamani Lissu ashike usukani.
Kuna vita kubwa "ndani ya Chadema" muda si muda watanyukana hadharani.
KUMUACHIA ni lazima na sio ombi tena, hamtaki kaa nae , Sasa unalalamika sie tukusaidie nini