Lissu Njoo Huku, Jimbo lipo wazi wetu sisi hana nyuma, hana mbele Bungeni

Hiyo ni bure ya ghali kanga,vitenge.pilau elf 5 zitawatokea wengi puani heri yangu kura yangu nilimpa babu ndesamburo japo haongei ila mambo yake burudani
 
Hiyo ni bure ya ghali kanga,vitenge.pilau elf 5 zitawatokea wengi puani heri yangu kura yangu nilimpa babu ndesamburo japo haongei ila mambo yake burudani
nimeburika sana pale mambo ya moshi yanakwnda kama madiwani, mbunge hawana shida kabisa yani kupenda kupewa vya bure ndo vinawaumiya ninyi waakina ccm wa muda na baada ya maumivu wanaikumbuka chadema. Mpe pole. Usichague jina au chama bali chagua dira ya kiongozi huyo. Kama hafai mpigieni kura za kutokuwa naimani naye ili ajiuzulu. Karibu kw wanawenye dira
 
Afadhali mbunge wako wa Mafia kuliko mbunge wa jimbo langu la Rorya Mh. Lameck Airo, yeye ni bubu! Watu wa Rorya wanatamani kurudia uchaguzi hata leo ikiwezekana na hata waliompigia kura wanajuta na kulaumu!

Hivi hawa wananchi wa Rorya walitegemea nini kwa kumpigia kura huyu "poti" Lameck Airo. Nakumbuka waliwatosa maprofesa wawili na kumchagua huyu jamaa wa darasa la pili. Nchi hii hauhitaji kuwa na akili nyingi kutajirika kwani mbinu nyingi wanazotumia ni chafu. Sasa wananchi waliona jamaa ana pesa wakadhani ana akili ya kuwaongoza.
 
Back
Top Bottom