Lissu Njoo Huku, Jimbo lipo wazi wetu sisi hana nyuma, hana mbele Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lissu Njoo Huku, Jimbo lipo wazi wetu sisi hana nyuma, hana mbele Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Jul 12, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa mara ya kwanza nimeipoteza kura yangu Kumpa Bulj. Mbunge wa Mafia. kwani baada ya kutumia Umri wa kupiga kura na kuamua kumigia mbunge huyu, sasa najuta, na nalitangaza Jimbo letu kuwa Lipo wazi (Licha ya Tume kukataa kulitangaza.
  Sababu kubwa kwamba mbunge wetu haindani na wakati. haendani na Changamoto za Bunge

  Naona wivu sana kuwaona akina Lissu, mnyika na makamanda wengne wanavylitetea taifa lao. natamani nihamie majimbo yao na niwe mpga kura wao ili kura yangu isipotee bure

  Bunge limepamba moto, Mara Ufisadi, Uongo, Mwongozo, Tupigane, Lete ushahidi, Futa kauli, sitaki posho, Ongeza Posho. usijibu swala hilo utakiuka amri za mahakama.
  Tutaandama, msianadamane, wapinzani waongo, ccm walarushwa. Kaa chini, Spika unapendelea, usilidanganye Bunge.

  Licha ya kuwa huko kwenye mototo hayupo, sijawahi kumsikia akiingia kwenye changanoto za Akina Lissu. lkn hata huku kwenye matatizo yetu hayupo
  Mbunge wetu hayupo hata pamoja katika vyote hivy. huku wananchi wa kisiwa chake wamejaa matatizo.
  Elimu mbovu, barabara mbovu. maji ya bomba hayajulikani.


  Jee nini tatizo la Mbunge wetu huyu?
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Tangaza mageuzi ndani ya kisiwa cha Mafya waingie makamanda wenye magwanda miaka 10 itakuwa paradise
   
 3. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  You could have look before you had leaped
   
 4. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo umenene mzalendo,mimi pia naomba mbunge mpya huku Maswa magharibi huyu kigeugeu hatumwitaji tena maana hakuna lolote alilofanya tangu awamu yake ya 1 hadi sasa,kwake uwakilishi ni kushindana misemo na misamiati ya kswhl,kusafiri, kuhama vyama na kuvuruga taratibu ndani ya vyama.Nimeamua akiendelea game lijalo nahamishia familia yng Kigoma kwa comrde Zito au kwa Kafulila, nauri isipotosha nitahamia Nyamagana kwa sasa nimeamu kupanga hapa Maswa mashariki japo napo panamajeraha makubwa ya Dr. PIUSI YASEBASI NG'WANDU (mbunge wa zamani), sijui kama KASULUMBAI atapaweka sawa.Hata hvyo mm ni mpangaji tu ni kusubiri Shibuda ang'oke kwa fedhea kubwa!
   
 5. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hii ndio nchi mliyoitaka baada ya kuchagua magamba,msilalamike ndo kwanza mwezi wa 7 safari ni ndefu sana na ngumu kufika 2015.tuombe lolote titokee ili turudi kwenye uchaguzi but hali ni mbaya.unalalamika hospital wakati waziri anatetea bajeti yake kwa nguvu huku 97% ya bajeti ya afya ni ahadi za wafadhili!!mbunge wako kalala tu bungeni na kupiga meza,ujuha huu
   
 6. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Afadhali mbunge wako wa Mafia kuliko mbunge wa jimbo langu la Rorya Mh. Lameck Airo, yeye ni bubu! Watu wa Rorya wanatamani kurudia uchaguzi hata leo ikiwezekana na hata waliompigia kura wanajuta na kulaumu!
   
 7. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,313
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  kumpa kura mbunge kama huyo ni sawa na kujimwagia upupu.
   
 8. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kuwa na Subra . Usifanye tena makosa kwani mbunge ukishamchagua basi atakaa hapo kwa masika tano bila kupungua.
   
 9. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi naona mingi sana hiyo. naamua ktangaza jimbo ili CDM na wengine waje kulikomboa
   
 10. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,437
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwa nini usigombee wewe hapo Mafia?
   
 11. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  majuto ni mjukuu,tulipowaambia msichague magamba mkasema wapinzani wana "vurugu" tujikaze tuwavumilie tu mana kupitia nyie mliochagua awa ata sie tunateseka...
  baada ya miaka 5 mfanye mageuzi yenye akili,yani mjihamasishe muwamwage wote hao mazezeta!!
   
 12. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Inawezekana nyie ndo mlopewa vitenge na kofia mkagawa KURA
   
 13. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuwa kama yule mwanaume baada ya kumlalamika sana mkewe kwamba wao wanawake ni watu wa mteremko tu ni heri yeye naye angezaliwa mwanamke au wabadilishane na mkewe yeye awe mwanamke na mkewe mwanaume. Mungu kwa kusikia malalamiko ya huyu jamaa na yale masengenyo anayompa mkewe akaamua siku moja kuwabadilisha jinsia. Baada ya mchakamchaka wa siku tatu wa kazi za nyumbani jamaa akakubali kwamba kweli wanawake wanakazi ngumu zaidi ya wanaume na akamwomba Mungu amrudishie jinsia yake ya kiume. Lakini Mungu akamwambia haiwezekani kwa sasa mpaka baada ya miezi 9 maana umeshapata ujauzito.

  Hali hiyo inafanana na ya kwako kumchagua huyo Mbunge wa Magamba kwa Maskhara yako. sasa itabidi usubiri miaka minne iliyobaki ndipo atabadilishwa.

  Hepukeni Maskhara katika Mustakabali wa Taifa.
   
 14. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Naona ubadili kabila na dini yako pia! Kabila lako halina changamoto za ujambazi, utapeli, mbege n.k
   
 15. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  Afadhali mbunge wako wa Rorya Mh. Lameck Airo kuliko mbunge wa jimbo langu la mlalo Mh. hassan ngwilizi, yeye ni bubu na kiziwi tena mbumbu! Watu wa mlalo wanatamni jimbo lao lihamie kenya.
   
 16. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mimi nasema wabunge wote Tisa Kumi ni Mh.six Sijui hata nani kampa akaimu ile nafasi. Tumemzoea mtu wetu mtoto wa mkulima hataki kuumiza hata mbu yeye anapenda kutenda haki hata kwa Ardhi anyoikanyaga lakini Six hovyo kama yule sijawahi kumuona. Arudi mtoto wa mkulima wetu. Ametulia.
   
 17. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  tena mkuu itabidi hii 6 itafsiliwe kivingine, sijamuelewa kabisa jana, mbona kawa zuzu vile aisee? au ndo anajivua gamba la CCJ?
   
 18. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,515
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Aah! Kuna huyu kenge wa kilombero,Abdul mteketa bungeni yeye ni bubu na kiziwi, hajawai kuchangia chochote kwa kuongea,anadai anachangia kwa maandishi. Ye anapenda misifa kama vile kukodi magari ya kifahari kama vogue.kuchukua mademu, ambao anatongozewa..huyu ni mzigo,usobebeka..shiit!
   
 19. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  natamani niihamie Jimbo la MBOWE. LISSU HATA MNYIKA. lkn mbunge wangu huyu yeye hayumo upingaji ufisadi. kuunga mkono kubwa zaidi hata kupigania wananchi wake hayumo. yupo yupo tu. sijui tatizo anaogopa nini? labda elimu yake ndogo
   
 20. B

  Balinasyo New Member

  #20
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni sana hiyo ndo faida ya kuchagua viongozi kwa kurubuniwa na vitu ambavo leo havkusaidi, matokeo yake mnaumia 2.
   
Loading...