Lissu: Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani

No retreat no surrender

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
1,869
2,000
Mimi huwa najiuliza Tundu Lissu ni nani? Hata ubunge hana bado watu wanamshobokea. Tundu Lissu ni kibaraka namba moja wa mabeberu was kuogopwa kama ukoma. Anayoifanyia nchi yake angeyafanyia nchi kama marekani (inayojinadi kinara wa demokrasia) adhabu ya ni kunyongwa. Baadhi ya majibo USA adhabu ya kifo bado ipo.
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
6,124
2,000
😂😂😂😂😂 Dah, we jamaa mbona unamnanga mkombozi wetu hivi? Tutapelekwa MIGA na nchi itapigwa mnada time yoyote kwanza amewaambia mabeberu wasitupe msaada kabisa
Msaada was Nini..kwani tumekosa Nini kwa Mungu..Mungu ametupa Kila kitu, you name them...mabeberu wasipotupa msaada hata familia yake itaathirika, ndugu zake, watoto wake asidhani adhabu hiyo wataipata wananchi wengine to, itamuathiri hata yeye. Wacha andelee kuwapambalamba hao mabwana zakee
 
Mwaikibaki

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,093
2,000
Aliyekuambia TL ni "fresh graduate" asiye na kitu zaidi ya simu na bando ni nani? Huyu ni professional ambaye ana maisha yake miaka yake ya kazi binafsi etc.

unadhani hana savings za kumsafirisha au unamuona ni muuza genge??? Pia dunia ina watu wema hivyo anaweza kuwa na marafiki wema ambao wanaweza fanya fund raising.
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
6,124
2,000
Wanaoipeleka nchi hii kusiko Ni Magufuli na CCM si Lisu. Hivi unapoidharau Mahakama na kumteua kada wa Chama kusimamia uchaguzi unakuwa umefanya nini kama si kuipeleka nchi kusiko!!!?
Hivi Kuna mwananchi Tanzania yetu ambaye hajawa mwanachama wa ccm, eidha kwa kuzaliwa, kurithi au kusajiliwa..labda tujuze..ccm ndio imekufikisha hapo wewe mpaka leo unaringa ringa na uhuru tele wa hata kutoa mawazo yako...hatujawahi tawaliwa na chama kingine zaidi ya ccm..upo
 
ndammu

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
2,108
2,000
Mimi huwa najiuliza Tundu Lissu ni nani? Hata ubunge hana bado watu wanamshobokea. Tundu Lissu ni kibaraka namba moja wa mabeberu was kuogopwa kama ukoma. Anayoifanyia nchi yake angeyafanyia nchi kama marekani (inayojinadi kinara wa demokrasia) adhabu ya ni kunyongwa. Baadhi ya majibo USA adhabu ya kifo bado ipo.
Ndivyo ulivyoelezwa? Kwani mna mdai kiasi gani alichowakopa kwa ajili ya ziara zake?

Ubaraka wake ndio upi badala ya kupinga hoja zake?
 
Zakaria Lang'o

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,598
2,000
Hivi Kuna mwananchi Tanzania yetu ambaye hajawa mwanachama wa ccm, eidha kwa kuzaliwa, kurithi au kusajiliwa..labda tujuze..ccm ndio imekufikisha hapo wewe mpaka leo unaringa ringa na uhuru tele wa hata kutoa mawazo yako...hatujawahi tawaliwa na chama kingine zaidi ya ccm..upo
Acha upumbavu. Julius Kambarage Nyerere alifikishwa hapo na nani!!!? "Beberu mweupe." Nami nimefikishwa hapa na "Beberu mweusi", CCM, Ni lazima nipambane naye ili haki ipatikane.
 
IPECACUANHA

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
3,157
2,000
Kaandika hivi kupitia twitter:

Jana nimeanza ziara nchini Marekani, itakayonichukua hadi tarehe 13 ya mwezi huu. Niko Atlanta, Georgia, hadi tarehe 6; kati ya tarehe 7 na 9 nitakuwa Washington DC, na kati ya tarehe 10 na 12 nitakuwa Houston, Texas.

Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani; taasisi za kimataifa na sekta binafsi; vyombo vya habari; pamoja na Watanzania waishio Marekani.

Nitarudi Ulaya tarehe 14 na kati ya tarehe 15 na 20 nitakuwa na ziara ya aina hiyo hiyo Ujerumani. Kwa hiyo, mapambano yanaendelea.

My take

Serikali yetu hatuna majasusi wa nje wa kitanzania? Wangetusaidia kujua ni nani anayemfadhili lissu huko ulaya.

Au ni michango ya matibabu ndio anatumia kufanya ziara? Au ni hela za uchaguzi mkuu wa chama ndizo zimetumika na ndio maana uchaguzi umeshindikana kufanyika?
Matibabu ya Ukimwi, Kifua kikuu na Malaria kwa asilimia mia yanafadhiliwa na binadamu wenzetu wenye nia ya kuwasaidia wasio nacho( sisi) kukabiliana na magonjwa angamizi. Binadamu hawa katika mstakabali huo huo pamoja na mimi na wewe kwakujifunza kutoka kwa binadamu wenzetu tunaweza kumgaramia binadamu mwenzetu aliye katika janga la kuangamizwa na wasiotaka kusikia mawazo tofauti na yao au kukoselewa.
 
magia

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,331
2,000
Kaandika hivi kupitia twitter:

Jana nimeanza ziara nchini Marekani, itakayonichukua hadi tarehe 13 ya mwezi huu. Niko Atlanta, Georgia, hadi tarehe 6; kati ya tarehe 7 na 9 nitakuwa Washington DC, na kati ya tarehe 10 na 12 nitakuwa Houston, Texas.

Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani; taasisi za kimataifa na sekta binafsi; vyombo vya habari; pamoja na Watanzania waishio Marekani.

Nitarudi Ulaya tarehe 14 na kati ya tarehe 15 na 20 nitakuwa na ziara ya aina hiyo hiyo Ujerumani. Kwa hiyo, mapambano yanaendelea.

My take

Serikali yetu hatuna majasusi wa nje wa kitanzania? Wangetusaidia kujua ni nani anayemfadhili lissu huko ulaya.

Au ni michango ya matibabu ndio anatumia kufanya ziara? Au ni hela za uchaguzi mkuu wa chama ndizo zimetumika na ndio maana uchaguzi umeshindikana kufanyika?
Kazi unayo pilipili ipo washamba wewe mjini inakuwasha
 
magia

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,331
2,000
Mimi huwa najiuliza Tundu Lissu ni nani? Hata ubunge hana bado watu wanamshobokea. Tundu Lissu ni kibaraka namba moja wa mabeberu was kuogopwa kama ukoma. Anayoifanyia nchi yake angeyafanyia nchi kama marekani (inayojinadi kinara wa demokrasia) adhabu ya ni kunyongwa. Baadhi ya majibo USA adhabu ya kifo bado ipo.
Pole kwa maimivu makali uliyo nayo maana kwenye kumuua mlishindwa mtapata taabu sana
 
nG'aMBu

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
1,654
2,000
Mimi huwa najiuliza Tundu Lissu ni nani? Hata ubunge hana bado watu wanamshobokea. Tundu Lissu ni kibaraka namba moja wa mabeberu was kuogopwa kama ukoma. Anayoifanyia nchi yake angeyafanyia nchi kama marekani (inayojinadi kinara wa demokrasia) adhabu ya ni kunyongwa. Baadhi ya majibo USA adhabu ya kifo bado ipo.
Sawa kachukua buku zako saba
 
Dadeq

JF-Expert Member
Nov 14, 2018
306
250
Lisu kwa sasa namuona Kama mtoto alieshindikana kwao harafu akatoroka nakuanza kufanya Mambo ya ajabu ili wazazi wake wakisikia wamuhurumie wamwambie rudi nyumbani. Na Kama Kuna mtu ashapoteza uelekeo wa siasa Ni huyu mtu anaejiita lisu.. pumba kabisaa
Hahahaaa tyang kikwetu n korodan zilizochoka ambazo zimefikia panipause
 
magia

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,331
2,000
Aliyekuambia TL ni "fresh graduate" asiye na kitu zaidi ya simu na bando ni nani? Huyu ni professional ambaye ana maisha yake miaka yake ya kazi binafsi etc.

unadhani hana savings za kumsafirisha au unamuona ni muuza genge??? Pia dunia ina watu wema hivyo anaweza kuwa na marafiki wema ambao wanaweza fanya fund raising.
Nafikiri ni Kibajaji aliyenufaika na ubunge bila ubunge ni kuli mchimba michanga. Kweli siasa na hasa ukiwa CCM ni mtaji tosha nahitaji kwenda shule wala kujihangaisha. Ndiyo maana PHD zote zimehamia kwenye politics
 
king mbappe

JF-Expert Member
Jul 26, 2018
829
1,000
swali ni kwamba anafanya hayo yote kwa manufaa yake binafsi au ya chama au ya taifa?

WaTz tusije kusahau kwamba hawa CCM na CHADEMA wote wasaka tonge.

hiohio CHADEMA unayoisapoti inaweza kutumika kusababisha Political instability, nchi ikayumba, serikali ionekane haifai, ilimradi tu wao waonekane wanastahili kiti cha enzi.

tuwe makini ndugu zanguni. hii nchi hatutaki vita na kila mwanasiasa atakaeleta maandamano tuwaombe wao wawe mstari wa mbele,
tukipigwa risasi tufe wote tukimwagiwa maji ya upupu tujikune wote tukipigwa mabomu ya machozi tulie wote..

ifikie pahala tujitambue kwamba tunatumika kuwatafutia watu matonge.
 
wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,094
2,000
Kaandika hivi kupitia twitter:

Jana nimeanza ziara nchini Marekani, itakayonichukua hadi tarehe 13 ya mwezi huu. Niko Atlanta, Georgia, hadi tarehe 6; kati ya tarehe 7 na 9 nitakuwa Washington DC, na kati ya tarehe 10 na 12 nitakuwa Houston, Texas.

Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani; taasisi za kimataifa na sekta binafsi; vyombo vya habari; pamoja na Watanzania waishio Marekani.

Nitarudi Ulaya tarehe 14 na kati ya tarehe 15 na 20 nitakuwa na ziara ya aina hiyo hiyo Ujerumani. Kwa hiyo, mapambano yanaendelea.
Awakumbushe kuwa mlima kilimanjaro upo Tanzania na sio Kenya.

Atangaze pia na utalii hata kama atayasema na hayo mengine.

Terminal 3 imeshaanza kutumika,waje wajionee pia.

Maflaiovaz, stiglaz goj nayo inaendelea, SGR karibu inaanza.
 
Kohelethi

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
2,305
2,000
Mimi huwa najiuliza Tundu Lissu ni nani? Hata ubunge hana bado watu wanamshobokea. Tundu Lissu ni kibaraka namba moja wa mabeberu was kuogopwa kama ukoma. Anayoifanyia nchi yake angeyafanyia nchi kama marekani (inayojinadi kinara wa demokrasia) adhabu ya ni kunyongwa. Baadhi ya majibo USA adhabu ya kifo bado ipo.
Kabla ujapiga risasi ulijiuliza ili swali?. Tundu Lisu ni nani? Au ulishoboka kupiga risasi tu.Ungejua kuwa Mkono wa MUNGU umeifadhi uhai wake usingeangaika na risasi. Alafu kila siku mna UZEZETA wa kuita beberu beberu tu.hivi mnajiona mna akili ya kuwazidi hao mabeberu?. Alafu msivyo na akili mnaita mabeberu mnajua kazi ya beberu?.Sikia Kama hamtotumia akili sawasawa na iwapasavyo hakuna wa kupambana na hao mabeberu.
 
kandawe

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
1,139
2,000
Sasa bila misaada ataishije akati ni mlemavu mkuu.
Lissu wakati anapiga kelele juu ya maji ya mto Tigite kuwa na sumu ya madini toka mgodi wa North Mara,ni watanzania sisi tulimbeza na kusema anatumiwa na mabeberu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom