Lissu: Nipo kwenye ile nyumba tangu 2010, mimi sio mjinga kusema kuna camera na nyaya zote zinaingia kwa waziri Kalemani

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
"Mimi nimekaa kwenye hilo jengo tangu mwaka 2010 nilipochaguliwa kama mbunge na mpaka sasa vitu vyangu bado vipo mule, ninaposema kuna cctv sizungumzi kwa kuambiwa, nazungumza kwa sababu naishi mule, pale kwenye parking niliposhambuliwa, kitu cha kwanza kinachoonekana ni hiyo cctv, na inaingia ndani kwa Waziri Kalemani, kwa hiyo nadhani vifaa vyake vingine vipo ndani ya Waziri”. - Tundu Lisu
 
Huu mwaka wameumbuka!

Wamejaribu kusema uwongo wee, lakini PENYE UKWELI UWONGO HUJITENGA!

Hivi huyu Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, alikuwa na sababu zipi za kuiongopea dunia, wakati ukweli unajulikana??

Hakika MWISHO WA UBAYA AIBU!
 
"Mimi nimekaa kwenye hilo jengo tangu mwaka 2010 nilipochaguliwa kama mbunge na mpaka sasa vitu vyangu bado vipo mule, ninaposema kuna cctv sizungumzi kwa kuambiwa, nazungumza kwa sababu naishi mule, pale kwenye parking niliposhambuliwa, kitu cha kwanza kinachoonekana ni hiyo cctv, na inaingia ndani kwa Waziri Kalemani, kwa hiyo nadhani vifaa vyake vingine vipo ndani ya Waziri”. - Tundu Lisu
Uongo mwingine..alishawahi kuingia kwa kalemani? Halafu kumbe huyu mtu ndio maana ana kiburi sababu walimpa hadhi kubwa sana..mbunge wa kawaida na wala sio afisa wa serikali wanamuwekaje na mawaziri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dyu fall of empire
 
Hivi imekuwaje huyo Kangi Ligola aje akanushe leo kuwa hakukuwa na CCTV camera katika nyumba walizokuwa wanaishi akina Tundu Lissu, wakati madai hayo ya kunyofolewa hizo CCTV camera yalitollewa siku nyinyi Sana??

Naamini ule msemo unaosema siku ya kufa nyani, miti yote inateleza!, ishaanza kutimia kwa hawa jamaa.......
 
Uongo mwingine..alishawahi kuingia kwa kalemani? Halafu kumbe huyu mtu ndio maana ana kiburi sababu walimpa hadhi kubwa sana..mbunge wa kawaida na wala sio afisa wa serikali wanamuwekaje na mawaziri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia akili kuwaza na sio kutumia kichwa kwa kufugia nywele... Hujui kama Tundu Lissu ni Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni.....Acha upopoma.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo mwingine..alishawahi kuingia kwa kalemani? Halafu kumbe huyu mtu ndio maana ana kiburi sababu walimpa hadhi kubwa sana..mbunge wa kawaida na wala sio afisa wa serikali wanamuwekaje na mawaziri?

Sent using Jamii Forums mobile app
akiona kamera kwa nje waya haziingii ndani? waziri pia ni mbunge ndio maana waliishi pamoja. anaweza kuwa muongo ila sio kwa hilo...
 
"Mimi nimekaa kwenye hilo jengo tangu mwaka 2010 nilipochaguliwa kama mbunge na mpaka sasa vitu vyangu bado vipo mule, ninaposema kuna cctv sizungumzi kwa kuambiwa, nazungumza kwa sababu naishi mule, pale kwenye parking niliposhambuliwa, kitu cha kwanza kinachoonekana ni hiyo cctv, na inaingia ndani kwa Waziri Kalemani, kwa hiyo nadhani vifaa vyake vingine vipo ndani ya Waziri”. - Tundu Lisu
Uongo wa kutunga.Arudi athibitishe hiyo single yake ya wimbo wake wa CCTV ambazo hazijawahi kuwepo
 
"Mimi nimekaa kwenye hilo jengo tangu mwaka 2010 nilipochaguliwa kama mbunge na mpaka sasa vitu vyangu bado vipo mule, ninaposema kuna cctv sizungumzi kwa kuambiwa, nazungumza kwa sababu naishi mule, pale kwenye parking niliposhambuliwa, kitu cha kwanza kinachoonekana ni hiyo cctv, na inaingia ndani kwa Waziri Kalemani, kwa hiyo nadhani vifaa vyake vingine vipo ndani ya Waziri”. - Tundu Lisu
Yatajulikana mengi mwaka huu - yangu macho na masikio.
 
Back
Top Bottom