Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
"Mimi nimekaa kwenye hilo jengo tangu mwaka 2010 nilipochaguliwa kama mbunge na mpaka sasa vitu vyangu bado vipo mule, ninaposema kuna cctv sizungumzi kwa kuambiwa, nazungumza kwa sababu naishi mule, pale kwenye parking niliposhambuliwa, kitu cha kwanza kinachoonekana ni hiyo cctv, na inaingia ndani kwa Waziri Kalemani, kwa hiyo nadhani vifaa vyake vingine vipo ndani ya Waziri”. - Tundu Lisu