Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

Rejea majimbo 18 CCM umepita bila kupingwa...anzia hapo kufanya analysis jomba
NEC inawasaidia wananchi kupiga kura?

Kazi ya kupigia watu kura na kuwafanya viongozi ni ya wananchi sio ya NEC!

NEC is doing illegal business,sio kazi yake!
 
Back
Top Bottom