Lissu: Nimeambiwa na 'Kubwa la Polisi' tujiandae Lowassa kupelekwa mahakamani kwa uchochezi | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lissu: Nimeambiwa na 'Kubwa la Polisi' tujiandae Lowassa kupelekwa mahakamani kwa uchochezi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 17, 2017.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2017
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,524
  Trophy Points: 280  "Nimeambiwa leo na lipolisi kubwa kabisa kuwa jiandaeni Mhe. Lowassa atapelekwa mahakamani.... mtu pekee mwenye kinga dhidi ya mashtaka ya jinai ni JPM..."- Tundu Lissu
   
 2. T

  Tyupa JF-Expert Member

  #61
  Jul 17, 2017
  Joined: Aug 11, 2013
  Messages: 603
  Likes Received: 384
  Trophy Points: 80
  Vyama vingi Tanzania na Afrika kwa ujumla muda wake ulikuwa bado sana sana.Kwa jinsi ulivyo kwa kwa sasa ni kujitengenezea uadui na visasi.Bunge lipitishe muswada wa kufutilia mbali hii kero ya vyama vingi, kibaki chama kimoja na hapo sasa mtu akianzisha shida afungwe maisha kabisa.

  Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
   
 3. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #62
  Jul 17, 2017
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,797
  Likes Received: 6,307
  Trophy Points: 280
  True. Hakuna mtu/kitu kinachotambulika kama ''kubwa la (ma)polisi:D''
   
 4. k

  konyola JF-Expert Member

  #63
  Jul 17, 2017
  Joined: Dec 13, 2016
  Messages: 679
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 180
  HOJA DHAIFU: "LOWASSA NA SUMAYE WALIKUJA CDM KWA KUWA WALIKATWA CCM" kwani wewe unaesema hivyo, "MUME ALIEKUOA SI ALIFIKIA HAPO BAADA YA WEWE KUMKUBALI? UNGEMKATAA ASINGEOA MWINGINE NAWE UNGEKUWA NUNGAYEMBE AU UNGEKUWA UWANJA WA FISI UKISUBILI WA KUKUNUNULIA UBWABWA KISHA MZIGO ULIWE HADI MONIE?
   
 5. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #64
  Jul 17, 2017
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Hahahahaa,Lissu msituone sisi wajinga,wewe ni wa kumtetea Lowassa leo?Halafu mwanasheria mzima unaogopa kulitaja jina la hilo lipolisi likubwa.
   
 6. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #65
  Jul 17, 2017
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,723
  Likes Received: 1,213
  Trophy Points: 280
  Hizo hisia zako tu. I hope you are not a man.
   
 7. o

  olyanu JF-Expert Member

  #66
  Jul 17, 2017
  Joined: May 30, 2017
  Messages: 1,436
  Likes Received: 859
  Trophy Points: 280
  Hata makanikia hayatawaacha watu salama

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 8. SDG

  SDG JF-Expert Member

  #67
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 28, 2017
  Messages: 6,580
  Likes Received: 6,782
  Trophy Points: 280
  Wanasiasa wanajuana ndugu,sie tuwaskilize tuwaangalie kisha tuendelee na 50 zetu

  May Allah bless Me and You
   
 9. SDG

  SDG JF-Expert Member

  #68
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 28, 2017
  Messages: 6,580
  Likes Received: 6,782
  Trophy Points: 280
  Kusema huko kwa Lissu kunaweza kufanya jamaa wakaahirisha kumpeleka mahakaman.
  Mliangalie na hilo

  May Allah bless Me and You
   
 10. Ngoda95

  Ngoda95 JF-Expert Member

  #69
  Jul 17, 2017
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,742
  Likes Received: 2,936
  Trophy Points: 280
  We Mkolomije "Kusaritiwa" ndio kitu gani?

  Sahihi ni Kusalitiwa.

  Alafu huyo "mungu" ni wa huko Chato labda.

  Sisi tunayemuabudu ni Mungu ambaye huyo tunaimani kwake kuwa Atatuepusha na kikombe hicho kwa kadiri ya mapenzi yake atavuna shambani mwake..
   
 11. o

  olyanu JF-Expert Member

  #70
  Jul 17, 2017
  Joined: May 30, 2017
  Messages: 1,436
  Likes Received: 859
  Trophy Points: 280
  That's non of their business. Wangekuwa wanalifahamu hilo hawa watoto waliopewa hayo madaraka wasingeyafanya hayo wayafanyayo. Lakini that's God's modus operandi. Akitaka kukuumbua anakufunika ufahamu wa kimwili na kiroho. Hauwezi ukaiona kesho yako ktk ulimwengu wa rohoni

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 12. SDG

  SDG JF-Expert Member

  #71
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 28, 2017
  Messages: 6,580
  Likes Received: 6,782
  Trophy Points: 280
  Polisi likubwa hapa Bongo ni moja tu ambalo ndo kubwa na mapolisi

  May Allah bless Me and You
   
 13. 1000 digits

  1000 digits JF-Expert Member

  #72
  Jul 17, 2017
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,296
  Trophy Points: 280
  Hivi tawala za kifalme zina Vyama?

  Nadhani hazina chama wala vyama!
   
 14. o

  olyanu JF-Expert Member

  #73
  Jul 18, 2017
  Joined: May 30, 2017
  Messages: 1,436
  Likes Received: 859
  Trophy Points: 280
  Hahaha Richmond ni kaburi la zamani linanuka. Hujaliona na lile la ma fish?

  Post sent using JamiiForums mobile app
   
 15. D

  Dongojiwe Senior Member

  #74
  Jul 18, 2017
  Joined: Jul 16, 2017
  Messages: 104
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Tena atanuka choo kimesingiziwa.

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 16. UncleBen

  UncleBen JF-Expert Member

  #75
  Jul 18, 2017
  Joined: Oct 27, 2014
  Messages: 9,095
  Likes Received: 9,705
  Trophy Points: 280
  Hii ngoma kama sielewi huku Masheikh wadai haki zao kwa lugha serikali inayoielewa.. Kule Masheikh wana husika na mauaji Kibiti.. Hapa kamateni awe ana mwendo sijui wa polepole.. Kule Lowasa atafikishwa mahakamani kwa uchochezi......

  Nakaa kimya naangalia huu mchezo unavyo chezwa kwa mbali
   
 17. D

  Dongojiwe Senior Member

  #76
  Jul 18, 2017
  Joined: Jul 16, 2017
  Messages: 104
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Huyo mungu wenu si aliwahi sema hatachagua mpinzani ktk ufalme wake, vipi Kitila etc. Jana si leo we mtu.

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 18. c

  chikundi JF-Expert Member

  #77
  Jul 18, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 7,430
  Likes Received: 1,973
  Trophy Points: 280
  Si ndio vizuri kwenu?

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 19. c

  chikundi JF-Expert Member

  #78
  Jul 18, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 7,430
  Likes Received: 1,973
  Trophy Points: 280
 20. D

  Dongojiwe Senior Member

  #79
  Jul 18, 2017
  Joined: Jul 16, 2017
  Messages: 104
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Nawewe si ndo mmoja wa magaidi ya Kibiti? Tukuitie ndata wakuweke kwenye friji?

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 21. Namala Namala

  Namala Namala JF-Expert Member

  #80
  Jul 18, 2017
  Joined: Jun 5, 2016
  Messages: 204
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  nshaukumbuka mimi

  Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
   
Loading...