OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,191
- 103,714
- Thread starter
- #141
kwa hiyo what do you concludeLowasa alisema haya haya
kwa hiyo what do you concludeLowasa alisema haya haya
asitumie jambo lililoko mahakamani. atafute agenda nyinginekwa hiyo what do you conclude
Mbona mnamhusisha Magufuli na kesi ambayo aliyewashtaki yupo? Dr shein muislam yupo mbina haulizwi? Kikwete nae si yupo? Waislam gani wanataka aulizwe Magufuli?Hivi hii hoja Magufuli aliwahi kuijibu popote?
Bila kufiksihwa hata MahakamaniBuku? Bila makosa?
aisee kiukweli binadamu tunatofautiana uwezo wa kuelewa. Hivi mtu unaelewa nini mtu akisema ndani ya siku mia? Akiapishwa leo kesho akawaachia au wakapewa dhamana haitakuwa ndani ya siku mia? Halafu kwa akili yako unadhani Lissu ataeleza mchakato woooote akiwa kasimama jukwaani? zile zinakuwa dondooo tuLissu hapa anatuonyesha, UNAFIKI wa hali ya juu sana. Anakubaliana na wengi tuonao hawa Mashekhe wamedhulumiwa na hawana hatia yoyote. Lakini anasema akipewa ridha na akawa Raisi atachukua muda wa siku 100 au miezi 3, kuwapa UHURU WAO HAO MASHEKHE, kwa nini muda wote huo, na unaamini kuwa hawana hatia, kama anataka kuhakikisha kesi yao, jee hatoweza kuwapa dhamana kwanza na ndani ya wiki mbili ama wakapandishwa kizimbani kwa tuhuma zozote ama kuachiwa huru.
Inawezekana miaka 7 uchunguzi haujakamilika na Lissu pia anahitaji siku 100???????? HUU NI UNAFIKI EXPRESS, AKATAFUTE HOJA NYENGINE, TUNAJUA HAWA MASHEKHE KINA JAMBO HADI VATICAN ITOE RUHUSA HAWATOKI.
hata kama ataachana na wewe,ila tafakari upya matumizi yako ya akiliAchana na mimi bwege wewe.
Wewe ambae unatetea magaidi ndio jitafakari,maana suala lipo mahakamani alafu unafagilia upuuzi wa mgombea wetuhata kama ataachana na wewe,ila tafakari upya matumizi yako ya akili
Wana kesi mahakamani, Sasa CCM inahusika hapo? Kama chadema wanahusika wakawatoe miaka yote huyo Lissu mwanasheria kakaa kimya Sasa anatafuta kura anajitoa ufahamu eti Hadi awe rais, kwani rais Magufuli ndo kawaweka mahabusu?"Nikishinda... na kule Bara nna uhakika atashinda Lissu... atanrudishia watu wangu" Maalim Seif. Hao Masheikh hakuna mtu ndani ya sisiemu anawazungumzia!
Lissu anadhani anagombea uenyekiti wa kamati ya sendoff; kuomba kura jambo moja, unaweza kuhadaa watu kwa kila ahadi, ila ukishatangazwa na kuapishwa kuwa rais utakutana na utaratibu wa namna ya kuongoza nchi, na sio kila jambo utalipayuka jukwaani. Kuna mambo utayakuta na kuyaacha hivyohivyo.View attachment 1602807
Mgombea urais Tundu Lissu ameendelea kusisitiza na kumtaka Rais Magufuli awaachie mara moja mashekhe wa Uamsho na mahabusu wengine waliofungwa kwa hila.
Tundu Lissu ameahidi ndani ya siku 100 za kwanza atakapo ingia madarakani ataawachia mashekhe wa Uamsho kwani kesi yao haina msingi wowote.
Lissu amewauliza waislam wa nchi hii kwa nini hawapazi sauti kuhusu unyama wanaofanyiwa waislam wenzao? Hapo hapo akawaomba watumie kura yao vizuri katika uchaguzi huu ili ndugu zao waweze kuachiwa huru.
Tundu Lissu ameshangaa iweje mashekhe hao wasipelekwe mahakamani kama kweli wana kesi ya kujibu ili mahakama iweze kuamua kama wamevunja sheria ama lah.
Hapa kateleza.Lissu amewauliza waislam wa nchi hii kwa nini hawapazi sauti kuhusu unyama wanaofanyiwa waislam wenzao? Hapo hapo akawaomba watumie kura yao vizuri katika uchaguzi huu ili ndugu zao waweze kuachiwa huru.
Tundu Lissu ameshangaa iweje mashekhe hao wasipelekwe mahakamani kama kweli wana kesi ya kujibu ili mahakama iweze kuamua kama wamevunja sheria ama lah.
Anayewashikilia hao Mashehe ni Serikali/executive na siyo Mahakama.Mimi muumini wa sheria na kisheria walitakiwa wafunguliwe mashtaka hukumu itolewe ila kuwafunga watu miaka bila kesi hilo tatizo kubwa lakini nataka niende mbali kidogo tusitumie hii issue kisiasa zaidi kupatia kura ila iwe ni kwa wote ambao kwa sababu moja au nyingine wako ndani au mahabusu bila kuhukumiwa kinyume sheria wafanyiwe haki. Hapa angesema siku 100 za mwanzo nitahakikisha mahakama inasimama kama huru na sheria za kesi zinafuatwa maana sheria ziko na makosa yote kuwa na dhamana na sheria za dhamana ziko haki itendeke kwa wote.
Ni kweli lakini wote tunajuwa DPP ni nani na anafanya kazi za nani, akipewa kimemo anafanya tu sio DPP wa wenzetu huko hata Rais anaweza kushitakiwa huku wote ni walewale tu.Anayewashikilia hao Mashehe ni Serikali/executive na siyo Mahakama.
Serikali kupitia DPP inaweza kuifuta kesi hiyo muda wowote.
Nadhani huyo ni mgombea wenu kifamilia unafurahia utawala usiojali sheria tafakari kama ndio Baba,baba mdogo wako yuko huko jela bila kesi yoyote huo unaoita ugaidi nenda kaprove mahakamani.Mgombea wetu anatetea magaidi? Maana wanatuhumiwa kufanya ugaidi Zanznibar, mwaka huu chama chetu kimechemka sana.
Kwani suala lipo wapi? Halipo mahakamani.Nadhani huyo ni mgombea wenu kifamilia unafurahia utawala usiojali sheria tafakari kama ndio Baba,baba mdogo wako yuko huko jela bila kesi yoyote huo unaoita ugaidi nenda kaprove mahakamani.
Mkashitaki kwenye Jumiya Za Kinataifaa tuwekewe Vijwazo... Maana Tukiwaambia Hakuna Cha Jumuiya za Kimataifaa Wala Nini KUNA JAMUHULI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SHERIA ZAKE...View attachment 1602807
Mgombea urais Tundu Lissu ameendelea kusisitiza na kumtaka Rais Magufuli awaachie mara moja mashekhe wa Uamsho na mahabusu wengine waliofungwa kwa hila.
Tundu Lissu ameahidi ndani ya siku 100 za kwanza atakapo ingia madarakani ataawachia mashekhe wa Uamsho kwani kesi yao haina msingi wowote.
Lissu amewauliza waislam wa nchi hii kwa nini hawapazi sauti kuhusu unyama wanaofanyiwa waislam wenzao? Hapo hapo akawaomba watumie kura yao vizuri katika uchaguzi huu ili ndugu zao waweze kuachiwa huru.
Tundu Lissu ameshangaa iweje mashekhe hao wasipelekwe mahakamani kama kweli wana kesi ya kujibu ili mahakama iweze kuamua kama wamevunja sheria ama lah.
Kwanini siku mia moja? Si utamke tu mara baada ya kuapishwa? Au unajua kuna 'formalities' za kufuatwa na hapa unawafurahisha wasiojua?View attachment 1602807
Mgombea urais Tundu Lissu ameendelea kusisitiza na kumtaka Rais Magufuli awaachie mara moja mashekhe wa Uamsho na mahabusu wengine waliofungwa kwa hila.
Tundu Lissu ameahidi ndani ya siku 100 za kwanza atakapo ingia madarakani ataawachia mashekhe wa Uamsho kwani kesi yao haina msingi wowote.
Lissu amewauliza waislam wa nchi hii kwa nini hawapazi sauti kuhusu unyama wanaofanyiwa waislam wenzao? Hapo hapo akawaomba watumie kura yao vizuri katika uchaguzi huu ili ndugu zao waweze kuachiwa huru.
Tundu Lissu ameshangaa iweje mashekhe hao wasipelekwe mahakamani kama kweli wana kesi ya kujibu ili mahakama iweze kuamua kama wamevunja sheria ama lah.
Hapana.Kauli hii moja kwa moja inaonyesha nia iliyojificha ya Lissu ya kuhakikisha Tanzania inaingia kwenye mgogoro na vurugu ili wale wanaodhaniwa kumtuma watimize azma yao ya kuitokomeza Tanzania kama alivyowahi kuahidi Lissu mwenyewe. Katika suala hili, Lissu alitakiwa kutumia lugha unganishi kwa watanzania badala ya lugha farakanishi aliyoitumia. Kutaja kuwa watanzania wa dini fulani ndiyo wahusike kufuatilia suala la namna hii inaonyesha wazi Lissu ana nia ovu dhidi ya Watanzania. Kwa hili lazima Lissu aadhibiwe kwa kunyimwa kura katika ifikapo tarehe 28/10/2020.
🤣😂🤣😂 Ukitakaa kuamini Wafuasi Wa CHEDEMA WENGI NI WAHUNI ni Leo Sugu kapita Sokoni Anaiimbiwa Rais, Rais, Rais🤣😂🤣 Nimecheka sana Sijui CHADEMA URAIS WANAUCHUKULIAJE ... Hiki chama Kinahitajii Neema ya Mungu kuwepo mpka 2025 maana Kinaongozwa Na Wahuni wapiga deal. Ila Safarii hii kimekutana Na CHUMA mwisho wake umefikaaaView attachment 1602807
Mgombea urais Tundu Lissu ameendelea kusisitiza na kumtaka Rais Magufuli awaachie mara moja mashekhe wa Uamsho na mahabusu wengine waliofungwa kwa hila.
Tundu Lissu ameahidi ndani ya siku 100 za kwanza atakapo ingia madarakani ataawachia mashekhe wa Uamsho kwani kesi yao haina msingi wowote.
Lissu amewauliza waislam wa nchi hii kwa nini hawapazi sauti kuhusu unyama wanaofanyiwa waislam wenzao? Hapo hapo akawaomba watumie kura yao vizuri katika uchaguzi huu ili ndugu zao waweze kuachiwa huru.
Tundu Lissu ameshangaa iweje mashekhe hao wasipelekwe mahakamani kama kweli wana kesi ya kujibu ili mahakama iweze kuamua kama wamevunja sheria ama lah.
Masheikh waliwaunganisha wazanzibar kupitia dini..hapakua na ccm wala cuf..walikuwa wanasepa na kijiji..mwishowe watu wangebinuliwa na masheikh kushika hatamu..ndomana wale hawasemi chochote..ni mwiba kooni"Nikishinda... na kule Bara nna uhakika atashinda Lissu... atanrudishia watu wangu" Maalim Seif. Hao Masheikh hakuna mtu ndani ya sisiemu anawazungumzia!