Uchaguzi 2020 Lissu: Nikichaguliwa, ndani ya siku 100 za kwanza masheikh wa Uamsho wataachiwa huru

Nilipinga mahakama kuingiliwa wakati Lowasa anaahidi kumuachia Seya na wanae.

Nikapinga kuingiliwa mahakama Magufuli alivyowaachia Seya na wanae.

Ninapinga kuingiliwa kwa mahakama Tundu anavyoahidi kuingilia maamuzi ya mahakama.
 
Uamsho tawi la Msumbiji wameingia Mtwara, sasa Lissu akiwaachia wenzao wa Zanzibar hali itakuwaje, anadhani Singida ni mbali, oh nimekumbuka yeye ana uraia wa Ubelgiji kikinuka hapa yeye anachukua gulf stream huyooo Brussels
 
Ukiwa kichaa kabisa kabisa, unaweza kumpigia kura Ndugu.
Ukiwa na akili timamu unaweza kumpigia kura Dkt. JPM.
Bloodsucker hutu!Period
Magufuli Haiwezi kuwa Raise kwa kuchaguliwa na wananchi!
 
kwa nini kila uchaguzi wanasiasa wanatumia Mashek wa uamsho kama kete ya kutaka kura? kama hao mashee wana haki kwa nini hawapewi lkn ktk kila kipindi cha uchaguzi utasikiaa wagombea wana watumia kama kete....halafu uchaguzi ukiisha hakuna atakaye wazungumzia!! Lowasa aliiahidi hivyo hivyo ktk uchaguzi wa mwaka 2015 Lisu naye tena mwaka huu 2020...kuna jambo la kutafakari
Umeshawaza kwanini ccm hawawezi kuizungumzia hii ishu?
 
View attachment 1602807

Mgombea urais Tundu Lissu ameendelea kusisitiza na kumtaka Rais Magufuli awaachie mara moja mashekhe wa Uamsho na mahabusu wengine waliofungwa kwa hila.

Tundu Lissu ameahidi ndani ya siku 100 za kwanza atakapo ingia madarakani ataawachia mashekhe wa Uamsho kwani kesi yao haina msingi wowote.

Lissu amewauliza waislam wa nchi hii kwa nini hawapazi sauti kuhusu unyama wanaofanyiwa waislam wenzao? Hapo hapo akawaomba watumie kura yao vizuri katika uchaguzi huu ili ndugu zao waweze kuachiwa huru.

Tundu Lissu ameshangaa iweje mashekhe hao wasipelekwe mahakamani kama kweli wana kesi ya kujibu ili mahakama iweze kuamua kama wamevunja sheria ama lah.
Hata Lowasa alisemaga hivyo hivyo
 
Uamsho tawi la Msumbiji wameingia Mtwara, sasa Lissu akiwaachia wenzao wa Zanzibar hali itakuwaje, anadhani Singida ni mbali, oh nimekumbuka yeye ana uraia wa Ubelgiji kikinuka hapa yeye anachukua gulf stream huyooo Brussels
Ishu sio kuwaachiwa ishu ni kuhukumiwa haijalishi hukumu gani, pili zanzibar ni nchi kwanini hawafungwi kwao?
 
Waliwekwa ndani tangu awamu ya 4 ipo madarakani nadhani kuanzia 2012 (Kama nimekosea nirekebishwe) na kuhamishiwa huku bara.

Kuna kipindi mahakama ya Zanzibar iliamuru warejeshwe huko wakajibu mashitaka (Kuna Uzi kuhusu hilo uliletwa humu) ila sikufatilia kujua kama walirejeshwa huko.

Anyway ni vyema upelelezi ukamilishwe (kama bado) ili kesi yao isikilizwe na kutolewa hukumu maana wamesota mahabusu muda mrefu sana.
Babu seya alihukumiwa kipindi cha awamu ya 4 lakini alimtoa
 
Unaji contradict.

Kama wamefungwa bila kufikishwa mahakqmqni, na wewe ni muumini wa sheria na watu kupelekwa mahakamani kabla ya kufungwa jela, basi walivyofungwa sasa bila kufikishwa mahakqmqni si sawa, na Tundu Lissu kubatilisha kifungo hicho ni sawa.

Tundu Lissu hajakataza mashehe kushitakiwa mahakamani, amekataa mashehe kufungwa bila kufikishwa mahakamani.
[/QUOTE

Kwanza jielimishe uzijue tofauti kati ya "Kifungo" na "Mahabusu" , hapo utazijua status za hao wanazuoni wa dini kuwa wamefungwa ama wako mahabusu..

Asante.
 
haswaa huyo mramba viatu vya mabeberu
Lissu kabla ya kushambuliwa alikua anazungumza ndani ya bunge
Anyway watu wanashangaa kulikoni CCM hawasemi chochote?
Na sisi waislamu Ndio mtaji wa CCM!!
Sio wakiristo wengi watakaopigia kura CCM
Tatizo letu waislamu wengi ni wanafiki..... That's All
Mashekhe wenu wengi wanawaangusha, wakopewa ubwabwa na watawala washawishi waumini waipigie kura ccm, rejea Shekhe wa Dar

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom